serikali tatu ni muhimu na muundo utakuwa hivi, Rais mmoja wa muungano, makamu wa rais 2 yaani Tanganyika na zanzibar na hivyo kufuta waziri mkuu na waziri kiongozi ambapo hao makamu 2 watakuwa...
Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe ameshikiliwa kwa muda na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa Polisi.
Tutaendelea kuwafahamisha...
Huu si muungano Bali ni dhulma za wazi kabisa upande mmoja dhidi ya upande mwingine wa muungano, kwanini tuendelee kuwadhulumu? Tusivunje muungano kila upande uendeshe mambo yake? Tumeunda tume...
Njama zimesukwa kuhakikisha kwamba mgombea wa Urais mwenye nguvu zaidi Dr Wilbroad Slaa kutokea Chadema hapati nafasi ya kugombea Urais.
Wapanga mkakati huo wamepenyeza kifungu kwenye Rasimu ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kamapuni ya Peoples Media Communication iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikidadi Mamhomud amekataa kujiuzuu wadhifa wake mbele ya wajumbe wa Bodi ya Uhuru FM...
Kikosi cha Kuzuia Ujangili Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Askari wa Misitu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wamewakamata watu saba wanaodhaniwa kuwa majangili, wakiwamo askari watatu wa...
WanaJF!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.
Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya...
Polisi kama mnabisha hamkuhusika kuuwa kwa Bomu, SMG na Bastola kwenye viwanja vya Soweto jiji Arusha hakuna haja ya kila siku kumwita Mhe. Mbowe kituo cha polisi kufanyamahojiano nae fanyeni mara...
Waliouawa Darfur: JK atoa tamko kali
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete ameutaka Umoja wa Mataifa (UN), kuruhusu kutumika kwa mtutu katika operesheni za kulinda amani zinazoendelea...
Katika jambo lisilotegemewa jana kikwete akiwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi aliitisha kikao kuamua ugomvi wa meya wa manispaa ya bukoba ndg. Dk. Anatory amani na mbunge kagasheki.
Kikao...
Baada ya wananchi kupinga vikali ushuru wa kadi ya simu na kuilaumu serikali ya CCM kwa kukosa ubunifu wa kukusanya mapato ikiwemo uzembe wa kusamehe kodi hovyo wakati taifa lina deni kubwa...
Akili yangu inashindwa kuamini kuwa Jeshi letu la polisi limefikia kuwa kichaka cha Waovu wa maovu mbalimbali ambayo wao wanapaswa kuwa mstari wa mbele kuyapinga na sisi kuwasaidia kama Polisi...
Sitaki iwe mbali bali mapema sana kesho asubuhi nataka nitii bila kushurutushwa na mtu yoyote maana wengine wamesha sema kuwa wamechoka na mchoko wao wamesha uhalalisha kwa kupitisha amri, amri...
ni katika maadhu,isho ya siku ya mashujaa kitaifa kule bukoba(kagera) ambako tbc walitoa takwimu kuwa katika makaburi ya mashujaa wetu waliopoteza maisha kwa ajili ya nchi hii yapatayo 600 zaidi...
Pamoja na gari la matangazo kuzunguka mji mzima wa Bukoba kwa siku mbili, shule kufungwa na masomo kukatishwa, misosi mingi kupikwa, wanafunzi kulazimishwa kuingia uwanjani na watu wazima wachache...
Warioba 'amnanga' aliyetoa maoni kwa waraka wa CCM
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amewakosoa wajumbe wa mabaraza ya Katiba wanaokuja kwenye mikutano na matamko ama...
Tafadhari jaribu kuipitia Idara ya Maji ya wilaya yako kwani ni kero hata kuizungumzia kwani ni wazi hata uendeshwaji wake ni wakihuni tu mfano system za mabomba maeneo ya Buigiri kuanzia...
KAMISHNA Msaidizi Mwandamizi wa Polisi aliyekuwa anasimamia ajirakatika jeshi hilo nchini, Renatus Chalamila amepewa likizo ya mwezi mmoja baadaya kutajwa mara nyingi kuhusika kuwatoza fedha...
Maombi yangu naomba katiba isifanyiwe siasa kama siasa zinavyofanyika kwenye mambo ya msingi sana kama vile uwaz wa serkali na kutoa maisha bora kwa kila mwanachi. Endapo katiba itafanyiwa siasa...
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu amewataka wajumbe wa mabaraza ya katiba kujenga hoja kuhusu muundo wa Serikali wanayoitaka badala ya kung'ang'ana wakiwalaumu wasomi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.