MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
Giza nene limetanda ndani ya CHADEMA kwa vile uongozi wa juu umekumbatia taarifa ya matumizi ya michango iliyotolewa na Mzee Sabodo kwa lengo la kujenga ofisi ya makao makuu na kuimarisha chama.
Upatikanaji wa taarifa za matumizi kuhusiana na fedha hizo imekuwa ni siri kali kati ya Mwenyekiti na Katibu, hivyo imepelekea baadhi ya viongozi wa kitaifa kususia shughuli za chama.
Wakereketwa wanashangaa kwa nini hadi leo hata mfuko mmoja wa sementi haujanunuliwa; watu walio karibu na uongozi wanasema sehemu kubwa ya fedha hizo zimetumika kugharimia kesi zinazomkabili Mwenyekiti.
Kwa ujumla uwazi haupo katika matumizi ya fedha ndani ya chama hiki, INASHANGAZA wakiwa majukwaani wanapiga vita ufisadi, KIMATENDO wanafanya ufisadi!
Source: Mwanachama aliye karibu na uongozi wa kitaifa