Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatimaye,Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam limewarejesha wanafunzi wapatao kumi (majina mfukoni) waliokuwa wamefukuzwa masomo kwa kuwa vinara wa mgomo wa Februari mwaka jana. Katika kikao...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika gazeti la Africa South la Oktoba-Disemba 1959 Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere wakati huo akiwa Mwenyekiti wa TANU aliandika makala ambayo inawezekana imesahauliwa katika historia, hasa na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna taarifa ambazo si vyema zikaendelea kuenea kwa namna inavyotaarifiwa... MWENYEKITI wa Taifa, Freeman Mbowe leo alifika Makao Makuu ya Polisi leo mchana kama alivyokuwa ametakiwa kwa ajili ya...
35 Reactions
219 Replies
15K Views
Aliye kuwa mgombea Ubunge wa jimbo LA NGORONGORO 2010 KUPITIA CHADEMA Mh. Lazaro Moringe Parkipunyi amefariki jana huko Karatu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
0 Reactions
54 Replies
9K Views
  • Closed
swali la kizushi.....
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Nini tufanye ili kuepusha migogoro na lawana ambazo kwenye chaguzi zetu hutokea ni bora iwepo tume huru ambayo itasimamia uchaguz kuliko hii ambayo ipo na wakati mwingine inajihusisha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama hiki kimeshika dora miaka mingi iliyopita, lakini kwa sasahivi kinaonekana kutopendwa na wananchi wengi kutokana na kukosekana kwa utawala bora unajenga haki na masilahi sawa kwa wote.Mi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni dhahili kuwa Tanzania ya mwaka 1hali964 na ya 2013 ni tofauti sana katika hali nzima ya kisiasa na utumishi wa umma, zamani katika serikali kulikuwepo uwajibikaji kwa viongoz na watwaliwa hali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Samwel Sitta amepata nafasi adimu. Jana,Samwel Sitta amenukuliwa akisema kuwa kuna viongozi waandamizi Serikalini waliofanya usanii wakati wa ujio wa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
nimeamin,Nyerere angekuwa hai angekuwa upinzani tena chadema,leo nikiwa safari arusha kwenda musoma kupitia butiama,nimeshuhudia ofisi ya chadema bendera ikipepea,baada ya kuuliza nikaambiwa cdm...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwapo na utumiaji vibaya wa rasilimali za nchi yetu ambapo siasa imekuwa ikitumika kuliko ukweli wa uhalisia, mi ningeomba katiba mpya itamke kuwepo na uwazi katika mikataba itakayo sainiwa...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
POSTED ON JULY 24, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
NImechoka kusikia vifo vya watanzania wenzangu kwa uzembe wa watu wachache na serikali yao...imekuwa ni nchi ambayo hatujui tahadhari ni nini ila tunajua kutoa michozi na rambirambi za kinafiki...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
KIZAZI CHA NYERERE: serikali ya chama cha mapinduzi imekuwa ikitumia mbinu na hira kudhoofisha upinzani kwa lengo la kujihakikishia kubaki madarakani. mwaka 1995 na mwaka 2000 ilikuwa rahisi...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Ni majonzi,alikamatwa nyumbani kwake kurasini na polisi wakamchukua hadi kusikojulikana,ndugu walifuatilia kila kituo bila mafanikio na hatimaye wakaambiwa maiti yake ipo Mwananyamala ilikopelekwa...
4 Reactions
156 Replies
13K Views
Serikali corrupt haitozi kodi, itakuwa inakimbizana na vitu vidogovidogo tu barabarani(MWL. NYERERE). Kwa sababu serikali yetu ya chama cha MAPINDUZI imekuwa inakimbizana na vitu vodogo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa Tanzania tuna Kituo cha Demokrasia ambacho kazi yake ni kuunganisha vyama vyote na kubadilishana mawazo juu ya ujenzi bora wa Demokrasia hapa nchini. Hadi majuzi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kituo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu wanajamvi, Naheshimu sana hoja zinazotolewa hapa jukwaani juu ya masuala kadha wa kadha hususani ya kisiasa ambayo kimsingi ni ya kujenga,kukomboa na kuelimisha jamii.Uelimishaji huu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
http://youtu.be/ZmhUKJ2Hgxg Kiwanda cha kienyeji cha kutengeneza vifaa na silaha mbalimbali,kimegundulika kuwepo jijini Dar es Salaam,ambapo wahusika wa kiwanda hicho wamekiri kuhusika katika...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Waasi kutoka jimbo la Darfur nchini Sudan, wameshambulia kambi ya jeshi Kaskazini mwa Kordofan, na kuwaua wanajeshi 5 katika makabiliano makali . Hii ni kwa mujibu wa jeshi la nchi hiyo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom