Hivi ITIKADI ya CCM ni ipi?

Hivi ITIKADI ya CCM ni ipi?

TECH WIZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
1,675
Reaction score
555
Huwa ninachanganywa sana na kauli za Makada na Viongozi wa Chama Tawala cha CCM kwamba Chama chao kinafuata ITIKADI na SIASA za MRENGO wa KUSHOTO yaani za UJAMAA na KUJITEGEMEA lakini kiuhalisia na kivitendo wanaishi na kuamini katika UBEPALI.Je ni kweli Chama cha Mapinduzi ni Chama cha Kijamaa?
 
nijuavyo mimi ITIKADI YA CCM ni rushwa,ufisadi,dili za madawa ya kulevya na biashara haramu za kuuza wanyama hai!!
 
Itikadi yao kwa sasa ccm ni ufisadi,udini,ugaidi,uuzaji madawa ya kulevya na ujangili.
 
attachment.php
 
Chama chetu magumagumashi.
Magumashi ndani mwake kuna ufisadi, ulaghai, ghiliba, uongo, uzushi, ugaidi, hiana , fitina , ubaguzi, matabaka, makundi hila, majungu, uchawi, ushirikina na kila uchafu
 
CCm haina itikadi rasmi inayoifuta, wenyewe ni kila kiongozi afanye awezalo katika eneo lake la kazi, kama ni kuba ruksa, kama kuua ruksa, kama kufisadi ruksa, kama kupiga tu ruksa, kama kuuza madawa ya kulevya ruksa, kama kufanya ujangili na kuuza wanyama ruksa, kama kuwachonganisha watu kwa misingi ya kidini ni poa tu, kama kutisha wananchi kwa silaha na ushirikina ruksa, kama kuuza nchi na kuwatwanga wanaopinga safi tu. Bora uhakikishe CCm inabaki madarakani kwa gharama zozote zile!

CCm ilipoteza dira toka enzi za akina Marehemu Horance Kolimba!
 
Huu si ushirikina wa wazi wazi? Kwa hiyo hapo ana silimishwa au ana batizwa kwa kuzikwa kichwa mchangani, huyo akiibuka hapo akili zinakuwa zimebaki mchangani! Nadhani na Magulu Nchembah alibatizwa hivi, maana yuko tayari kuua kwa ajili ya mafisadi!
 
hahaha kwikwi kwikwi raaaa ruuu...uwiiiii uwiiii!!
 
Huwa ninachanganywa sana na kauli za Makada na Viongozi wa Chama Tawala cha CCM kwamba Chama chao kinafuata ITIKADI na SIASA za MRENGO wa KUSHOTO yaani za UJAMAA na KUJITEGEMEA lakini kiuhalisia na kivitendo wanaishi na kuamini katika UBEPALI.Je ni kweli Chama cha Mapinduzi ni Chama cha Kijamaa?
NI CHUKUA CHAKO MAPEMA wakipiga kelele WAPIGWE TU
 
Huwa ninachanganywa sana na kauli za Makada na Viongozi wa Chama Tawala cha CCM kwamba Chama chao kinafuata ITIKADI na SIASA za MRENGO wa KUSHOTO yaani za UJAMAA na KUJITEGEMEA lakini kiuhalisia na kivitendo wanaishi na kuamini katika UBEPALI.Je ni kweli Chama cha Mapinduzi ni Chama cha Kijamaa?

Green Guard na "Big Results Now"
 
kuzururazura kwa viongozi, kuombaomba, kuachia raslimali za madini, gesi na uranium kuchotwa hovyo, kuweka fedha uswisi na mataifa mengine ya ulaya huku wananchi wakitaabika kwa kukosa maji safi na watoto wa kitanzania wakikosa elimu bora na mwishowe kuishia kuwa machinga. kudhulumu wakulima mazao yao kwa kuwalipa bei dhaifu na kukopa bila kuwalipa kwa wakati.
 
kuwa na viongozi na wanachama wezi wasio waadilifu na wachoyo, wabaguzi na wenye roho mbaya wanaotoa roho za wenzao na kuwamwagia tindikali raia wema kwa sababu ya siasa.
 
Huwa ninachanganywa sana na kauli za Makada na Viongozi wa Chama Tawala cha CCM kwamba Chama chao kinafuata ITIKADI na SIASA za MRENGO wa KUSHOTO yaani za UJAMAA na KUJITEGEMEA lakini kiuhalisia na kivitendo wanaishi na kuamini katika UBEPALI.Je ni kweli Chama cha Mapinduzi ni Chama cha Kijamaa?

Zamani ujamaa na kujitegemea.. Sasa ubinafsi na kujimegea.
 
ni chama minacho amini kuwa wageni ndio msingi wa maendeleo katika nchi yoyote duniani na kwamba hakuna maendeleo mpaka wageni waje wamiliki njia kuu za uchumi. ndo maana mkapa aliuza kila kitu mpaka nyumba za serikali na sasa tunaona jk naye analeta wageni wachukue ardhi na rasilimali zilizobaki kwani nchi hii haina mwenyewe. mwenyewe aliondoka 1999 (j.k.n).
 
CCm haina itikadi rasmi inayoifuta, wenyewe ni kila kiongozi afanye awezalo katika eneo lake la kazi, kama ni kuba ruksa, kama kuua ruksa, kama kufisadi ruksa, kama kupiga tu ruksa, kama kuuza madawa ya kulevya ruksa, kama kufanya ujangili na kuuza wanyama ruksa, kama kuwachonganisha watu kwa misingi ya kidini ni poa tu, kama kutisha wananchi kwa silaha na ushirikina ruksa, kama kuuza nchi na kuwatwanga wanaopinga safi tu. Bora uhakikishe CCm inabaki madarakani kwa gharama zozote zile!

CCm ilipoteza dira toka enzi za akina Marehemu Horance Kolimba!

...umesema yote yanayo wahusu mkuu,sina cha-kuongeza...ningekuwa nami ni mmoja wa hayo mamitunge ya hicho Chama Cha Mafisadi ngesema "naunga mkono hoja 100%"...
 
Back
Top Bottom