Kwako Raisi Kikwete

Kwako Raisi Kikwete

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,895
Reaction score
2,806
Kwanza Kabisa napenda kukupongeza kwa ujasiri uliotuonyesha ukiwa Bukoba. Kitu tunachotaka kukutaarifu ni kwamba tunaomba ulinzi na Usakaji wa majambazi unaoshirikisha vyombo vyote vya ulinzi ufanyike nchi nzima. Tanzania bila ujambazi inawezekana. Mheshimiwa najua unasoma sana JF please toa amri msako uwe wa nchi nzima. Nawakilisha



Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom