Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Sugu atakua na mkutano utakao fanyika kwenye kata ya Igawilo ktk jimbo la Mbeya mjini, mkutano huo utakua ni pamoja na kusikiliza kelo mbalimbali za wananchi. Chanzo cha habari ni gari la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Dakika 45 jioni hii Ndg J Ndugai kwa kweli amenikosha sana. Amesema yale ambayo wana CCM wengi wanaogopa kusema hadharani, Na amelisema suala la serikali tatu ndani ya muungano...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana jf kwa waraka mpya wa mishahara ulivyo ambao unaonyesha nyongeza ya kiduchu(tsh.60,000) huku ugumu wa maisha ukiongeza ni dhahiri kuwa serikali hii kiziwi haijali walimu kwa hiyo walimu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwenyekiti msaafu Wilaya ya Tabora wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ajinyonga Chumbani kwake huko Tabora. Mzee Jafary Ally mmoja wa wanzilishi wa TANU na mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Tabora...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nakubaliana na muundo wa muungano wa serikali tatu,kama ilivyo ainishwa kwenye rasimu ya katiba mpya lakini naomba jina la serikali ya Tanganyika na siyo serikali ya Tanzania bara na jina la...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Wana JF Roho inauma na mawzo kichwa tele, kuna mawingu ya giza na kujawa na magharibi ya moyo, ni hunzuni na masikitisho makubwa kuona binadamu anadhalilishwa kisaikolojia ndani ya nchi yake...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Dar es Salaam. Kuna kila dalili kwamba Serikali inajipanga kufuta kodi ya Sh1,000 kila mwezi kwa wamiliki wa laini za simu baada ya kuwapo kwa malalamiko kutoka kwa wananchi, taasisi na baadhi ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Rais tumtakae 2015 ni lazima:Awe mzalendo kwa vitendo; Awe na uchungu na Rasilimali zetu;Achukie ufisadi na rushwa na lazima atuonyeshe kuwa anakerwa na mambo kwa dhati;Aheshimu Demokrasia;Asiwe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
By KEN OPALA Posted Friday, July 26 2013 at 21:26 Substandard or suspicious mixtures of maize flour, sugar, tea, alcohol, juices, and cigarettes have hit the market, packaged in images...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Huwa najiona kama nabii niliposti uzi huu kabla Rwakatare hajakamatwa na Mabomu hayajarushwa Arusha na Kesi za ugaidi za akina kileo ila bado nikapuuzwa Kesho ni Tarehe ya siku aliyouawa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Tetesi zimesikika kuwa, mkuu anakula malalio yetu.. Tetesi zinasema mkuu kajimilisha ardhi kubwa usawa wa viwanja 10 vya mpila wa miguu huko Kagera wilaya ya Ngara, katika eneo linaloitwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana wa TANZANIA HABARI, Huwa mara nyingi nimekuwa Mbishi sana Kuamini Mambo ya Kishirikina Lakini kwa Hili MHh! nalazimika Kuamini Kuwa ‘sio bure sisi Tumelogwa na Tunahitaji Mganga...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
  • Closed
...loading..............................................
0 Reactions
93 Replies
7K Views
Dr. Amesema wizi wa rasilimali za taifa unatishia amani. Hoja hii ni nzito, lazima watawala waamke sasa na kubadili hulka zao za ufisadi. Wizi wa rasilimali unainyima Serikali uwezo wa kukusanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina omba ufafanuzi mpwapwa nilio iacha enzi za mbunge senyagwa na mkuu wa wilaya saria ndio mpwapwa ile ile ninayo ihona neleo mpwapwa yenye barabara mbovu mpwapwa isiyo na soko mpwapwa yenye...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wana JF...... Kumekuwa na hali ya majibizano malumbambo kutupiana lawama ni nani alieruhusu kupitishwa tozo ya simu, je! hawakujua kuwa ni mzigo kwa wananchi, kauli nyingi zimesikika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapo watu kati yetu ambao hawasumbuliwi na kodi hii mpya ya SimKadi kwani wanaamini ni fedha kidogo sana na kuwa kwa kutoa 1000 au 4000 kwa mwezi kwao si tatizo kwanini kama hela ya "bia" na...
20 Reactions
89 Replies
6K Views
DIWANI wa Kata ya Mbugani, Hashimu Kijuu (Chadema), anadaiwa kushirikiana na Mwalimu Lukia James wa Shule ya Msingi Mabatini A, B na Gaya Wandole wa Sekondari ya Mtoni, Mwanza, kuvamia maeneo ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Vigogo wanunua ghorofa bil 2.7 badala ya bil 1.2 WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (BRELA), kwa baraka za Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo, imenunua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
His Excellency was in mad, sparkling form. After thousands of supporters were bussed into a football stadium for an election rally this week, Robert Gabriel Mugabe used the podium to blame...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom