DHAHABU: Wasemaji Wengi Wanasababisha Wakosoaji Wengi.
Tabia ya kufichaficha mambo, inasababisha serikali kujikanyaga na kutoa matamko yanayokinzana. “Matamko-mgongano” yakiwa mengi, yanasababisha...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo...
Umeitwanna tume ya Chande jana. Tueleze ulihojiwa kujusu nini na what is your take home message from your casual observation ya tume yenyewe! Inclination yake ni ipi?
Uliwahoji kwanini wanazima...
My Take
Mojawapo ya sekta ambazo Serikali ya Samia imetoa msukimo mkubwa ni Kilimo.Soma Pre GE2025 - Rais Samia atimiza ahadi, amwaga Magari 20 ya kuchimbia Visima bure kwa Wakulima wadogo
Hata...
Ukienda kila kwenye account ya social media ya vichwa wa CHADEMA wanajifanya kuchambua athari za nchi kuuza dhahabu.
Ukiwauliza maswali madogo madogo tu hawana majibu.
. Hawajui Tanzania tuna...
Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa
Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika vijana wa Taifa hili wana kila sababu ya kumshukuru Rais Samia ,wana kila sababu ya kuendelea Kumuunga mkono ,wana kila sababu ya kumuombea Maisha marefu ,wana...
Jana nimeingia Mwanza na kupokelewa Airport ili niende niendako.
Ajabu niliyokutana nayo ni baada ya kufika Pasiansi na kufuata barabara ya kuelekea Lumala hadi Kiseke.
Barabara .
Hii barabara...
Kuna taarifa kuwa polisi ambao wanaandaa mashitaka kuhusu kijana mwenzao anyetuhumiwa kwa mauaji ya Daudi Mwangosi wanapanga mbinu za kumnasua kijana huyo kwa kutopeleka mashahidi mhakamani baada...
Truth and reconciliation... Ukweli na maridhiano huletwa na haki na wajibu baada ya hapo ndio hupata matokeo ya tunda la amani
Kuna kitu tunakilazimisha kifanyike hata kama hakiwezekani kabisa...
WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA VIJANA KWA AJILI YA KUIMARISHA MAADILI NA MSHIKAMANO WA TAIFA
▪️Atoa tahadhari dhidi ya kuingiza mijadala ya kejeli katika masuala ya imani
WAZIRI MKUU, Dkt...
Wadau, hii ripoti ina akili. Isomeni mlinganishe na ya kisanii ya Nchimbi.
Nawasilisha
MUHTASARI WA TAARIFA YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YA UCHUNGUZI WA TUKIO LILILOPELEKEA KIFO...
Taifa liko kwenye mkwamo wa vifo vya maelfu, maombolezo ni kila kina, vilio ni kila mahali matanga ni kote
Wengine wamezika nguo... Wengine bado wanawatafuta wapendwa wao, sintofahamu ni kubwa...
NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA
je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU?
Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili...
My Take
Kama sio juhudi za mageuzi ya kiuchumi za Rais Samia Leo Bandari ya Dar ingekimbiwa na wateja Kwa sababu za kipuuzi za miaka yote huku wanaojiita Wazalendo walishindwa kutoa suluhisho...
Kwa mujibu wa Prof. Suleiman mjinga au mpumbavu hupimwa kwa namna anavyokubali jambo.
Ikiwa atakubali kila jambo analosikia huyo ni mpumbavu na ikiwa atahoji kila jambo kabla ya kuamini huyo si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.