Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,925
- 51,010
Kati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
Aisee... Wasira?mzee wasira
Yule muigizaji tu... Kafukuzwa kwa kutumia "Script" ya "episode" ya mbele mwanzoni.George Simbachawene.
AlishakufaKati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
Hatupo labda Nyerere atoke kaburiniKati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
Labda mstaafu mmoja hiviKati ya viongozi wa CCM unaowajua ni yupi akisema jambo kuhusu Taifa letu la Tanzania utaamini kuwa anasema ukweli?
Akishastaafu siyo kiongozi tena... Mtu akimaliza shule huwezi kuendelea kumwita mwanafunzi.Labda mstaafu mmoja hivi
Kama ni hivyo HAKUNAAkishastaafu siyo kiongozi tena... Mtu akimaliza shule huwezi kuendelea kumwita mwanafunzi.
Hata wakijiapiza huwezi kuwaamini... Nakumbuka wakati Magufuli anaumwa tuliambiwa kuwa yupo Bukheri wa Afya anachapa kazi... Kumbe..❌Hakuna yeyote.
unajua kwa kwanini ule mbuyu pale karibu na st. peters mbuyuni haujakatwa licha ya kupita kwa barabara ya mwendo kasi?Aisee... Wasira?
Sawa!!Aisee
Samia Suluhu bwana
NdiyoSawa!!
Kwani nimebisha..? Kwa ivo wewe unaamini kuwa wale waliouawa 29Oktoba walikuwa siyo watanzania?Ndiyo