Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jina lake limekatwa huko Bumbuli. Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme Pia soma 1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba...
6 Reactions
99 Replies
7K Views
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani. Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much. Too much arrogance Too much innocent blood...
1 Reactions
5 Replies
88 Views
Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai...
1 Reactions
9 Replies
344 Views
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi. Akiwa Umoja wa Vijana...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
..Mama hawezi kuitwa kutoa ushahidi. ..lakini Mpango, na Nchimbi, hawawezi kukwepa samans kwenda mahakamani. ..habari ya mjini ndiyo hiyo.
1 Reactions
0 Replies
44 Views
Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda...
0 Reactions
61 Replies
342 Views
Habari wana jamii, kwasababu hii au ile nimejilazimisha kukaa muda mrefu kidogo bila kupost. Nadhani tunatembea kwenye tope kama taifa bila nuru ya mwanga. Tumefikia mahali tunaongozwa na watu...
1 Reactions
4 Replies
114 Views
CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti. Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye...
5 Reactions
34 Replies
315 Views
Sheikh Mziwanda akiwahutubia waumini na wananchi waliohudhuria Maulid ya Kitaifa yaliyofanyika Mnazi Mmoja amesema maendeleohayawezi kupatikana kwa njia ya fujo wala matusi, bali kwa kushikamana...
0 Reactions
2 Replies
26 Views
SAMIA: Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote kheri na baraka za Sikukuu ya Maulid. Kumbukizi ya siku hii njema ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) itukumbushe kuendelea kuishi kwa upendo...
2 Reactions
17 Replies
192 Views
MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye...
24 Reactions
253 Replies
10K Views
Mh magufuli amemchagua bi samia suluhu kuwa mgombea mwenza kwa kuzingatia uswa wa kijinsia, uzanzibar na kubalance chama kupata kura upande wa zanzibar....vuai hussein mwinyi bilal kwaher...ila...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi...
142 Reactions
423 Replies
32K Views
Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa...
4 Reactions
126 Replies
23K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema yeye na wananchi wote wa Mbeya wameupokea msiba wa Rais Magufuli kwa mikono miwili kwani kazi ya Mungu haina makosa. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
7 Reactions
121 Replies
13K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada...
64 Reactions
885 Replies
80K Views
Back
Top Bottom