Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Juzi na Jana nimekutana na hizi posts kutoka kwenye Media tofauti, kuna wengine bado wameziacha hewani na wengine kama Manara na Royal TV Plus wameziondoa nadhani ni baada ya kukandwa sana...
5 Reactions
4 Replies
231 Views
Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa...
16 Reactions
52 Replies
999 Views
Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP. Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani? Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika...
8 Reactions
29 Replies
413 Views
Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara. Lakini...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa. Naomba niishie hapa.
9 Reactions
33 Replies
578 Views
Kuna jambo moja wameliweka sawa kwa weledi mkubwa sana. Wamehitimisha kwamba TBC sio Chombo cha Umma bali ni chombo cha serikali
5 Reactions
7 Replies
286 Views
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
31 Reactions
136 Replies
6K Views
Kimsingi wao ndio Walalamikaji wakuu, hii ni kwasababu wa ndio wangepinduliwa Sasa ni vema wakaitwa ili waieleze Mahakama Tukufu namna Mhaini Mmoja ambaye hana hata manati anavyoweza kuwapindua...
3 Reactions
16 Replies
184 Views
Kwa miaka mingi serikali kuanzia za Mkapa hadi Samia zilikuwa zinasumbuana na Tundu Lissu, kwa kumkamata na wakati mwingine kumshitaki kwa tuhuma mbalimbali na baadae kumuachia. Kitendo cha...
5 Reactions
8 Replies
381 Views
IKIWA CDF, IGP NA CDI WATASEMA WALIFUATA AMRI: SWALI NI JE: AMRI HIYO ILITOLEWA NA NANI? Hapa ndipo tunapaswa kutumia critical thinking, si hisia. Kama CDF, IGP na CDI watatoa ushahidi kwamba...
1 Reactions
4 Replies
105 Views
Tukiwaambia CCM ndo kikwazo cha maendeleo ya inchi hii muwe mnaelewa. Na tatizo kubwa ni rushwa wanazopata kwa kuwapa tenda wachina hata kujenga jengo tu. Kama SUMA jkt walijenga ikulu na majengo...
0 Reactions
1 Replies
61 Views
HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa...
9 Reactions
58 Replies
1K Views
Shahidi wa nne ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, Septemba 9, 2026 amekamilisha...
3 Reactions
8 Replies
557 Views
Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na...
4 Reactions
14 Replies
212 Views
Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi...
5 Reactions
25 Replies
383 Views
Back
Top Bottom