Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi...
7 Reactions
88 Replies
2K Views
Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa...
0 Reactions
8 Replies
155 Views
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema agenda ya sekta binafsi siyo tu agenda ya sekta binafsi pekee bali ni agenda muhimu na mtambuka ya taifa...
7 Reactions
42 Replies
571 Views
Mtambuka tarehe 21 Agosti 2026 Mahakama kuu masijala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dastani Ndunguru ilimkuta mhe Lissu na kesi ya kujibu kwenye kesi...
7 Reactions
9 Replies
539 Views
Huyu jamaa bora wangezuia kujitetea maana kwasasa ni kama mwanasiasa amepewa jukwaa kuubwa la kuzungumza bila kificho na (HATOTOKEA MWANA SIASA MWINGINE ATAKAEPATA NAFASI KAMA HII wengi wangewapa...
26 Reactions
41 Replies
1K Views
"Kwenye siasa za ukombozi siyo hizi za udalali, kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu". Tundu Lissu akihutubia watia nia April 3, 2025
5 Reactions
7 Replies
148 Views
Nchini Singapore kwa mujibu wa sheria kupiga kura ni lazima. Kila mwananchi ana jukumu la kupiga kura na mwananchi ambaye hatashiriki kupiga kura bila sababu ya msingi kama vile ugonjwa au kuwa...
3 Reactions
11 Replies
209 Views
Wakati akiwa kiongozi wa chama chake alionekana ni muungwana,mtu mwenye misimamo na mpenda haki. Wanachama,wananchi na washabiki wa chama chake walimpenda,walimheshimu na walimuamini kupitiliza...
1 Reactions
6 Replies
102 Views
Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha...
3 Reactions
101 Replies
849 Views
Bila shaka Eda na Udhu vinaenda sambamba! Mimi sio muislam niko tayari kuelimishwa. Je mwanamke aliyeko Eda kukumbatiwa na mwanaume inaswihi!?
2 Reactions
32 Replies
580 Views
Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa, Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe! Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza 1. Je, Chadema hawana...
4 Reactions
118 Replies
10K Views
Court imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
3 Reactions
24 Replies
299 Views
Wakuu Juzi na Jana nimekutana na hizi posts kutoka kwenye Media tofauti, kuna wengine bado wameziacha hewani na wengine kama Manara na Royal TV Plus wameziondoa nadhani ni baada ya kukandwa sana...
5 Reactions
4 Replies
231 Views
Namuangalia warioba, katika umri wa miaka zaidi ya 80, anaweza kuongea anachoongea kwa mpangolio bila kupoteza kumbukumbu ni jambo la ajabu sana. Nina 40+ tayari nauhisi kabisa mchoko wa...
16 Reactions
52 Replies
999 Views
Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP. Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani? Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika...
8 Reactions
29 Replies
413 Views
Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara. Lakini...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Pamoja na yote yanayoendelea mahakamani hivi sasa kuhusu kesi ya Lissu, huu ndio utabiri wangu kutokana na uzoefu nlilioupata katika kufuatilia siasa na wanasiasa. Naomba niishie hapa.
9 Reactions
33 Replies
578 Views
Kuna jambo moja wameliweka sawa kwa weledi mkubwa sana. Wamehitimisha kwamba TBC sio Chombo cha Umma bali ni chombo cha serikali
5 Reactions
7 Replies
285 Views
Back
Top Bottom