Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa. Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa...
4 Reactions
7 Replies
171 Views
Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu? Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa...
3 Reactions
6 Replies
256 Views
Kutoendelezwa kwa miradi mbalimbali jijini Dar es Salaam, iliyogharimu mabilioni ya fedha za umma kumetajwa kuwa ni ufujaji wa fedha hizo. Mwandishi wa habari hizi ametembelea baadhi ya miradi ya...
1 Reactions
4 Replies
109 Views
Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu...
4 Reactions
19 Replies
422 Views
Hii safari ya wale waheshimiwa kule Vatican ilikuwa ya kificho, ndiyo maana hawakupost chochote mpaka walipoona Vatican wamelimwaga hadharani ndipo na wao jana wakajifanya kupost kuhusiana na hiyo...
13 Reactions
42 Replies
960 Views
Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka...
1 Reactions
6 Replies
140 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete, Kilosa mkoani Morogoro. Akiwa eneo hilo Mheshimiwa Dkt. Mwigulu...
1 Reactions
3 Replies
226 Views
Ifike mahali tukatae kuchezewa na script za genge lililopora mamlaka ya wananchi Kwa hila Wameona wamepoteza mvuto Kwa wananchi wameamua kutengeneza script za maigizo kututoa kwenye reli Kangi...
4 Reactions
5 Replies
122 Views
Natambua haja ya serikali kupata fedha za haraka Kwa kuuza Akiba kubwa ya dhahabu Ili kupata pesa za kugharamia miradi mikubwa ya miundombinu inayoendelea hasa SGR.Soma hapa (1) Tanzania yapanga...
3 Reactions
91 Replies
926 Views
Natamani ifike nyakati mwenge baada ya kuizindua miradi mbalimbali, mwaka unaofuata upite tena kuangalia ile miradi kama bado ipo .
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Ni katika mtaa wa Sokoni One, kata ya Sinoni jijini Arusha, ambapo asubuhi ya leo Februari 1, 2026, wananchi wa eneo hilo wameandamana na kufunga barabara inayotoka Sinoni kuelekea Ngusero kwa...
1 Reactions
4 Replies
186 Views
KUNA mkakati wa siri unaodaiwa kupangwa na vigogo walioguswa na hoja ya ufisadi bungeni ili kumshambulia mbunge wa Gairo, Ahammed Shabiby na Kangi Lugola wa Mwibala, wote kutoka Chama Cha...
2 Reactions
19 Replies
457 Views
Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli. Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo...
8 Reactions
34 Replies
648 Views
Kwa Niaba ya: Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki – Tanzania Dr Nagaikaya Thomas M (PhD) The Catholic Professionals of Tanzania Dar es Salaam Tanzania Kuhusu: Masuala ya Mahusiano kati ya...
36 Reactions
55 Replies
1K Views
Samia hana uwezo wa mawazo ya kimkakati wala uthubutu wa kiuongozi kama mtangulizi wake. Udhaifu wake haujatokea kwa bahati mbaya ni matokeo ya uamuzi wa makusudi wa kujifungamanisha na wezi...
11 Reactions
6 Replies
340 Views
“Bila haki hakuna amani tuhubirini haki kwanza, Popte penye haki amani upatikana, ukiwapa watu haki zao amani inakuja automatically” Nabii Rolinga.
4 Reactions
6 Replies
197 Views
"Mwaka huu utakuwa mwaka wa 65 tangu tumepata uhuru bado hatujajenga Demokrasia, miaka saba mkoloni alikubali kuiachia Tanganyika na kupata uhuru bila kupiga watu risasi, miaka 65 hatuna mfumo wa...
2 Reactions
5 Replies
140 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Oktoba 29, 2025, watu walipigwa risasi wakiwa majumbani mwao, huku Mkuu wa Nchi akisema nguvu iliyotumika ndiyo...
5 Reactions
28 Replies
580 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mwamba Kwelikweli,Ni Chaguo La Mungu ,Ni Nuru Na Mwanga Wa Taifa. Ni Kiongozi Aliyefanyika Baraka kwa Maisha Ya Watanzania,Ni Neema Na Baraka Kwa...
4 Reactions
14 Replies
322 Views
Back
Top Bottom