Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya...
“Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna...
Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote.
Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi...
Hapa chini ni makala moja lililounganishwa kikamilifu, likijumuisha uchambuzi wa awali pamoja na masahihisho yako, bila kutumia hyphens, na kwa mtazamo wa uwajibikaji wa kisera na kisheria...
https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/
Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi...
Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania.
Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa...
Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, ametoa onyo kali dhidi ya kile alichokiita "ujinga na maigizo" ya baadhi ya viongozi wanaojaribu kuingiza siasa ndani ya...
Hamjambo wote!
1. Kwenye mambo ya Intelligence(ujasusi, ushushushu, unjangu) kuna kitu inaitwa Missing System/s.
2. Kitu hii ukikosa hata MTU binafsi mambo yako yanakuwa hatarini, usalama wako...
Unauwa watanganyika, unateka Viongozi wa dini, unafungia makanisa, unawafunga wapinzani, unajipendelea kwenye uchaguzi na bado unajiibia kura ili uonekane umeshinda kwa kishindo, mwisho wa siku...
Tanzania to the World!!!!!
Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, leo inatarajiwa kuendelea kuunguruma, ambapo upande wa mashtaka utajibu hoja za kisheria za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 9, 2026, anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni katika hafla itakayofanyika Ikulu...
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia...
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Marekani, Chris Smith, amekemea vikali vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na mateso dhidi ya waumini wa dini mbalimbali duniani. Katika...
Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika...
Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.