Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna siri iliyofichika kwenye chungu cha kukaangia. Kundi la watu 22 ndani ya ukumbi huo huo, wamekaa wanasuka kamba. Lengo lao moja: kumuangusha jamaa. Lakini wanasubiria neno kutoka mlimani...
33 Reactions
60 Replies
3K Views
Nimejiuliza maswali mengi juu ya huyu bonge Mzimbabwe ambae ana kashfa kubwa ya ufisadi kwenda huko Kizimkazi na kumkubatia rais Samia ambaye kwa sasa yupo eda. Je hii ni sahihi? 👇
6 Reactions
49 Replies
646 Views
Wanabodi, Leo kuna SMS nimetumiwa, nilipoisema humu hiyo SMS imeleta kizaazaa! hadi kufikia kutoleana maneno mabaya kwa baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kwa Mwenye Enzi Mungu...
10 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimeikuta mahali, confirm maana inaleta ukakasi mkubwa. Najua watu walishalipwa amnbako bomba litapita. Sasa hii tena inatoka wapi.
1 Reactions
3 Replies
274 Views
Leo ndugu Lema, mbunge wa zamani wa Arusha mjini ambaye pia ni mnufaika wa michango ya CHADEMA kama tonetone, join the chain na mingine mingi, katoa salamu za pole kwa Mheshimiwa Rais Mama Samia...
1 Reactions
7 Replies
316 Views
Mwandishi wa habari kutoka Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa urasimu katika upatikanaji wa kibali na ukomo wa uhuru wa kihariri ndivyo vitu vinavyovizuia vyombo vya habari vya serikali...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina. Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Sijui kama wengi wanajua ni kwanini Mwigulu aliteuliwa waziri mkuu pamoja kutofaa kabisa. Kwa wajuao, aliteuliwa ili kupingana na Tundu Lissu wanayetoka mkoa mmoja. Hivyo basi, Mwigulu si waziri...
6 Reactions
22 Replies
394 Views
Makomredi tayari dalili zimeonekana kuwa mwenyekiti wa chama rafiki CHADEMA anaweza kukutana na hukumu kali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili. Hukumu ya hili kosa ni kunyongwa mpaka kufa ila mara...
0 Reactions
17 Replies
277 Views
Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Yaani ni kwamba hapo alipo ni mguu mmoja nje mguu mmoja ndani.. Yaani mguu mbele mguu nyuma. Sijajua ni nini kimetokea kati yake na...
5 Reactions
26 Replies
853 Views
Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Tanzania kwa mwaka 2020,huenda ukawa uchaguzi bora kuliko yote au uchafuzi kuliko yote toka tuingie chaguzi chini ya mfumo wa vyama vingi 1995...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa kijijini kwetu kuna muungano wa familia mbili unashangaza sana, huu muungano ulianzishwa Mara tu baada ya simba alokuwa akila watu kufukuzwa, familia zikabaki na hofu kubwa sana, Sasa...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
== David Zacharia Kafulila was introduced by TICD to Tanzanians as the Executive Director of the Public Private Partnership Center in Tanzania. He is a highly accomplished Tanzanian professional...
4 Reactions
35 Replies
448 Views
Akichangia mjadala kwenye kituo cha demokrasia MH wasira alisema tujihadhari sana na kupunguza nguvu ya rais , kwa mazingira yetu tukimpunguzia sana rais nguvu nchi haitapata maendeleo. Hizi akili...
11 Reactions
61 Replies
655 Views
Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na...
4 Reactions
12 Replies
226 Views
Wakuu JF amani iwe nanyi, Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya...
1 Reactions
3 Replies
218 Views
Watu weusi tunakua kama nyani hata nyani hawafanyi huo upumbavu sisi kweli sio binadamu kamili kupishana mitazamo ndo kiwe kisa cha kumweka Dr Nchimbi kizuizini alafu sisi wana CCM tuko kimya kosa...
18 Reactions
57 Replies
918 Views
Mara ya kwanza we ndo ilikuwa uwe makamu na ukaambiwa uje Tanzania mwezi march 2021 Lakin kuna kundi likamwambia Mama kwamba we una misimamo kama Bashiru na Polepole hivo hutafaa sasa kuwa makamu...
43 Reactions
125 Replies
7K Views
A kingdom toppled by its enemies can rise again but that which crumbles from within shall never stand... meza yao isikauke vinywaji. Tanzura was tense. President Amina, the first woman to lead...
9 Reactions
5 Replies
448 Views
Back
Top Bottom