Baada ya mtuhumiwa kuanza kutoa ushahidi , wake inaonekana Waendesha Mashtaka na Meza Kuu Wana tashwishwi ya Mtuhumiwa Kumaliza Ushahidi wake , mapema kadiri inavyo wezekana bila kuzungumzia...
Haya ndio mambo yaliyomkuta mtoto wa Lubuva , alipata cheo kutokana na watawala kulipa fadhila kwa Baba yake baada ya kusaidia wizi wa kura 2015.
Kisicho riziki Hakiliki
Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango?
Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?!
Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango...
Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari.
Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer
Sasa Watanzania na Wakenya...
Hawa wana CCM wanaotolewa kwenye meza kuu wawe na ujasiri wa kuunda chama ambacho kitakuwa mbadala wa CCM.
Iwe CCM B ya ukweli na wazi.
Nchimbi
Majaliwa
Mpango
January
Mpina
Dotto Biteko...
Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu...
Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo.
Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na...
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa wanaosema ati Kujiuzulu kwa VP bas the same way ambayo atakayoitumia boss kubwa ⏱️💯 kuachia ngazi.
Labda niwaambie tu, me nadhani hamumjui huyu bibi vizur...
Jina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba...
Watanzania tuungane kwa pamoja tupigane na hiki kikundi Cha mashetani.
Kama mtu mkubwa kama huyu anajiuzulu Ina mana imefika pabaya na too much.
Too much arrogance
Too much innocent blood...
Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN).
NANI KUJIUDHURU Urais?
Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai...
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi.
Akiwa Umoja wa Vijana...
Je,
ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa?
Kwasababu sote ni mashuhuda...
Habari wana jamii, kwasababu hii au ile nimejilazimisha kukaa muda mrefu kidogo bila kupost.
Nadhani tunatembea kwenye tope kama taifa bila nuru ya mwanga. Tumefikia mahali tunaongozwa na watu...
CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye...
Sheikh Mziwanda akiwahutubia waumini na wananchi waliohudhuria Maulid ya Kitaifa yaliyofanyika Mnazi Mmoja amesema maendeleohayawezi kupatikana kwa njia ya fujo wala matusi, bali kwa kushikamana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.