Mpanda: Vibanda vya machinga vyabomolewa soko la Kilimahewa, Katavi

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,079
Reaction score
3,867

Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.

Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo kujipatia kipato cha kila siku.

Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao JIBU hapana.

Wakina mama wanaangaika huku na kule kuokoa mali zao kwani ndio msingi mkuu wa maisha yao.

================================​

UPDATES...
Mwenyekiti wa eneo hilo, Benard Elias Nswima amesema "TANROADS walitupa taarifa tangu mwezi Machi au Aprili 2026 lakini utekelezaji haukuendelea, baadhi walibomoa wengine hawakubomoa, hivyo wamekuja kubomoa kwa kuwa ni maeneo yaliyo katika hifadhi barabara.”
 
Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.

Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo kujipatia kipato cha kila siku.

Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao JIBU hapana.

Wakina mama wanaangaika huku na kule kuokoa mali zao kwani ndio msingi mkuu wa maisha yao.
Hapa ndipo Watz wanaweza ona jinsi huu utawala wa mafisi wa CCM wasivokuwa na utu!
 
Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro.

Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo kujipatia kipato cha kila siku.

Je, wafanyabiashara walipewa taarifa ya mapema kabla ya kubomolewa kwa vitu vyao JIBU hapana.

Wakina mama wanaangaika huku na kule kuokoa mali zao kwani ndio msingi mkuu wa maisha yao.
Yes,
katika kuboresha miundombinu na kupanga miji na kuiweka safi wakati wote ni lazima kuondoa mazoea, lakini ni lazima kuchukua hatua na maamuzi magumu.

there might be casualties.
well done mpanda Administration 🐒
 
Casualty is is a person killed or wounded in war ,accident or disease so how does that apply to the Katavi fiasco?
 
Gentleman,
it's worth noting that,
if there is a nation where the citizens desire development yet are completely averse to change, then that country is Tanzania.
All these actions are being taken for the benefit of the people of Mpanda and for their own development.

the minor inconveniences experienced by a few citizens due to the decision to improve the environment in Mpanda are to be expected; ideally, this should be viewed and taken as an opportunity to better prepare for further development actions in the future.

tuache ubishi usio na maana :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom