Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inayoitwa tume huru ya uchaguzi inatuona sisi ndezi! Yaani eti kati ya vitu vyote vya kuweka uwanja sawa kwa wagombea imeona kugawa magari ndiyo njia mwafaka! Kwa nini inapata kigugumizi kuamua...
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu...
4 Reactions
10 Replies
466 Views
Kwa raisi kikwete walivuna ugonjwa wa mnyauko, Kwa rais Magufuli walivuna tetemeko la Ardhi wakaishia kuboreshewa shule na magereza? Kitoto Cha 2000 uwezi nielewa ngojea nirudie hivi! Kwa raisi...
2 Reactions
3 Replies
374 Views
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
2 Reactions
30 Replies
765 Views
Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu nchini Tanzania wametangaza kuwa mabalozi wa amani na usalama wa Tanzania wakati huu ambapo Taifa linajiandaa kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ili kila...
2 Reactions
3 Replies
251 Views
JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 1. Madikteta kwa kawaida hukamata taasisi zifuatazo za serikali, polisi, mahakama, jeshi, vyombo vya habari na tume ya uchaguzi n.k. hizi...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Ni baba wa taifa,wengine wanamwita mkombozi wa kweli barani afrika,wapo wanao mwona kama gwiji wa siasa za kipekee na zilizo simamia utu wa mweusi duniani kote,nasisi wachache tunamwita nabii...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Pasco wa JF, naomba jibu lako, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, CCM siyo mama yangu, siku wakiiacha ile misingi tuliyoanzisha kwayo, nitaiacha -- JK Nyerere (Siku ya kumwaga Kawawa- Mungu...
20 Reactions
169 Replies
21K Views
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini? Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini? Tujenge...
4 Reactions
49 Replies
950 Views
Ikiwa leo ni siku tunakumbuka kifo cha Baba wa Taifa hili hatuna budi kumuenzi kwa kuyafuata yale aliyokuwa akiyapigania 1. Kupambana na Rushwa na Ufisadi (Uhusani kwenye uchaguzi tuwakatae...
6 Reactions
86 Replies
21K Views
Jina la Madaraka Nyerere(pichani) sio geni miongoni mwa watanzania. Ukiachilia mbali ukweli kwamba yeye ni mtoto wa sita wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kitu ambacho...
7 Reactions
70 Replies
20K Views
Mwalimu Julius kambarage Nyerere Mimi ni #kijanamzalendo mwenye uchungu na taifa langu na serikali yangu ambae sijawahi kukushuhudia ukiwa madarakani Bali nilichokiwahi kukisikia kuhusu wewe juu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
3 Reactions
23 Replies
15K Views
Wanabodi, Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala...
69 Reactions
287 Replies
20K Views
1. Mwanasiasa Mkongwe nchini. Anafaa kuteketeza Sera mpya ya Mambo ya Nje iliyozinduliwa hivi karibuni. 2. Haya yatawezekana tu akimng'oa Archbishop Dr Rashid Josephat Gwajima (PhD) Jimbo la Kawe.
1 Reactions
13 Replies
859 Views
Aluta... Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi. Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic. 2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa. 3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa...
25 Reactions
286 Replies
83K Views
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini...
27 Reactions
115 Replies
67K Views
MAMA Maria Nyerere na familia yake hawakuhudhuria Sherehe ya Maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 17 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ilizofanyika Bariadi mkoani Simiyu jana...
7 Reactions
77 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…