Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dkt.Mohamed Said Dimwa amesema mgombea mwenza wa urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia tiketi ya CCM, Balozi Dk.Emmanuel...
Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu>
Ni matambiko hayo. Wote walio kuwa kwenye uongozi wa Magufuli na walihusika kunyanyasa watu kwa njia yeyote wataondoka.
Sasa wanaofuatilia...
Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo serikali za CCM...
Mpo salama!
1. Sisi watibeli tunachozingatia ni Haki, Haki kwa Kila mmoja. Bila kujali chama chake, itikadi yake, kabila lake au dini yake.
2. Mara nyingi nawasikia wanaharakati wanaosema...
Watanzania, ndugu zangu,
Leo tunasimama hapa si kwa hofu — bali kwa hasira. Hasira ya watu waliodhalilishwa kwa miaka. Hasira ya watu waliodhulumiwa hadharani, wakabaki kimya. Hasira ya watu...
Kuna imani iliyoota mizizi kuwa dunia iliumbwa na Mungu. Nani alioina ikiumbwa? Kwani kila kitu lazima kiumbwe.
Mbona vitu vingine vinaweza kuzuka? Kinachowasumbua ni ule ujinga kuwa kila kitu...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tunapaswa Kubadilisha katiba ili Rais Samia apate nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza Muda wake 2030. Hii ni muhimu ili kulipa Taifa...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge jimbo la Tabora mjini kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) Hawa Subira Mwaifunga amekutana na kuzungumza na kikundi cha wanawake na Samia mkoa wa Tabora;
Ambapo...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwaambieni ya Kuwa Uchaguzi utafanyika katika mazingira ya amani ,utulivu na usalama wa kutosha kabisa pasipo bughudha wala vurugu ya aina yoyote ile kutokea...
Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima...
Japo Kikwete anajulikana kwa kujitoa ufahamu, kwa mtama aliomwaga slowsliow sijui kama analala usingizi.
Japo twamjua ni jahiri mwenye masikio lakini asiyesikia, hili litakuwa limemtingisha...
Jana tarehe 19 Septemba 2025. Jaji Mkuu wa Tanzania George Masaju alikutana na viongozi wa TLS ambapo walijadiliana mambo mengi ya msingi.
Jaji Masaju alitoa maelekezo kwa Mahakama inavyopaswa...
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Aman Golugwa akiongea na Wanahabari leo Oktoba 07, 2025 nje ya Mahakama Kuu kanda ya Dar Es Salaam amewasihi wananchi na wananchama wa chama hicho kujitokeza...
Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa...
Hamjambo!
Sisi wengine hatunaga shida na mtu kuongoza au chama Fulani kuongoza. Ili mradi ni mtanzania na yupo chama cha Watanzania sisi hatuna shida na hilo.
Shida yetu(Mimi na Watibeli)...
Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani...
Wanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali...
Huu mfumo wa ESS utumishi umekuja na mambo mengi mazuri kwa Watumishi wa umma kama vile ku- access mikopo online bila kulazimika kwenda benki, kuomba likizo online na mambo mengine ambayo kwa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.