Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025
Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au...
Ndugu Shekhe mishipa imemsimama kuzungumzia maandamano!
Kwahiyo kutakuwa na maandamano ya upande wanaiunga mkono serikali na wale wanaopiga uchaguzi! Hayaaa!!
===============
Wale wahuni...
Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk.
Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na...
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuwa Serikali haihusiki na utekaji...
Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo!
Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania
===================
Mwenyekiti wa Chama cha...
Wakuu,
Nimechoka kuona mabango ya CCM mtaaani.
Yaani kila sehemu ni mabango tu. Nimeenda pale Makumbusho mabango yako hadi kwenye magari
Halmshauri mko wapi? Mazingira kwa kweli ni mabovu na...
Kuna tetesi tesi kuna watu wanataka kuandamana ili watu wasipige kura, nataka nikuhusieni kama kuna ndugu yake au kijana wake basi amwambie aache kwa sababu haifai, Tusubiri maandamano yatakuwepo...
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema baada ya takribani siku 40 za kampeni, anadhani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kuna uwezekano wa kushinda kwa asilimia...
Machifu wa Mkoa wa Simiyu wamewataka Wananchi wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza kwa wingi kutimiza haki yao ya kikatiba ya kuchagua Viongozi wanaowataka.
Wamesema amani ndiyo msingi wa Taifa...
Hapa naweza kusema ni kama imetoka oda fulani kwa watumishi wote wa Umma.
Na kuwaza kwa ndani kabisa inawezekana ikawekwa lokoo watakapiga kura na wasio piga kura halafu wasiopiga kura...
"Kama Biden aliweza kuufungia mtandao wa Tiktok ukiwa hauendani na Propaganda zao kwa sababu maudhui ya TikTok ni ya china, pia hii Instagam, Twitter na Facebook haziendani na sisi tuzitie Ban...
Sheikh uchaguzi huu hadi sasa ni haramu, je unalifahamu hilo. Lakini hali si nzuri watu wanatekwa sana sijasikia ukilisemea au halina umuhimu kabisa?
====================
Waumini wa dini ya...
Kufuatia uwepo wa baadhi ya vijana kutumia vibaya mitandao ya kijamii wakati huu wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais kwa kutoa lugha za matusi, vijana hao wameonywa kuacha...
Kuna kelele za kawaida kwa wanaoitazama kwa juu uso wa kesi hii, lakini ndani ya frequency ya Court Chamber Alpha, operesheni hii imevuka kiwango cha kesi.
Kilichoonekana leo ni intel chessboard...
Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Baba Levo amesikitishwa na Mpinzani wake kutoka Chama cha ACT Wazalendo, kuomba kupiga picha na baadhi ya Wanachama wa CCM Kwenye...
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, ameahidi kuwa serikali itakayoundwa na chama hicho itawapa wakulima uhuru wa kujipangia...
Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini?
Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais?
Kama Taifa changa je...
Yawezekana wewe ni mstaafu , uliyewahi kulitumikia Taifa kwa moyo wako wote.
Yawezekana bado upo kwenye madaraka na bado unazitii order zote nakukiombea mema chama chako kiendelee kutawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.