Dira ya Mwalimu Nyerere

Dira ya Mwalimu Nyerere

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,332

​

10983365_964461896919975_391718280983040354_n.jpg
 
..nampenda sana Mwalimu Nyerere.

..lakini hii documentary imenichefua kwa kurekodi sauti ya uongo ya Mwalimu Nyerere.

..kuna sehemu wamechukua muigizaji akaongea kama Mwalimu Nyerere, which I believe is UNETHICAL/ haitakiwi ifanyike kama unatengeneza documentary.

..miaka 20 ijayo wajukuu zetu wataangalia documentary hiyo na kuna uwezekano sisi babu zao hatutakuwepo kuwaeleza kwamba kuna sehemu ktk documentary hiyo sauti inayosikika siyo ya Mwalimu Nyerere.

cc Jasusi, Nyani Ngabu, Kiranga, EMT, NasDaz, Pasco, Manyerere Jackton, Kapwela, Mkandara, BAK
 
Last edited by a moderator:

Nimeisikiliza yote lakini nadhani ni kipande kimoja tu na sielewi kwa nini wamefanya hivyo.. bora hata wasingeiweka kabisa..
 
Asanteni sana wadau na shukrani za pekee kwako BAK kwa maoni na michango yenu.

Tumepokea maoni na tutaifanyia kazi.
Kwa ufafanuzi zaidi sababu za kutumia sauti ya mwigizaji kusoma nukuu ambazo tumezikuta katika vitabu vilivyoandikwa na Mwalimu Nyerere ni kama ifuatavyo:

1. Ni nukuu muhimu zinazoeleza falsafa, mtazamo na dira ya Mwalimu Nyerere na hatukuweza kupata nakala ya sauti (audio) au ya picha (audiovisual). Hata hivyo tutashukuru sana iwapo mwanaJF yoyote ataweza kutuelekeza pa kupata nukuu hizi tulizozitumia.

2. Kuacha nukuu bila kusomwa ni kuwanyima wenzetu walemavu wa macho na wale wasiokuwa na uwezo wa kusoma kupata taarifa hii muhimu. Sababu ya kutumia mwigizaji ambaye ataiga sauti ya Mwalimu Nyerere ni kwa ajili ya kuleta uhalisia na ni njia ambayo hutumika kimataifa.

Hivyo kama tulivyoeleza hapo juu, hatukuwa na lengo la kupotosha bali kuelimisha hasa ukizingatia kuwa walengwa wakuu ni vijana na wanafunzi.

Tunakiri kufanya kosa la kutoandika au kutoa taarifa pale ambapo tumetumia sauti ya mwigizaji na tutafanya marekebisho na kutoa angalizo.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote na tunaendelea kukaribisha maoni na maswali.

Tunawatakia sikukuu njema ya Muungano
 
..nampenda sana Mwalimu Nyerere.

..lakini hii documentary imenichefua kwa kurekodi sauti ya uongo ya Mwalimu Nyerere.

..kuna sehemu wamechukua muigizaji akaongea kama Mwalimu Nyerere, which I believe is UNETHICAL/ haitakiwi ifanyike kama unatengeneza documentary.

..miaka 20 ijayo wajukuu zetu wataangalia documentary hiyo na kuna uwezekano sisi babu zao hatutakuwepo kuwaeleza kwamba kuna sehemu ktk documentary hiyo sauti inayosikika siyo ya Mwalimu Nyerere.

cc Jasusi, Nyani Ngabu, Kiranga, EMT, NasDaz, Pasco, Manyerere Jackton, Kapwela, Mkandara, BAK
Tumkumbuke Mwalimu Nyerere.
Pasco
 
Mkuu JokaKuu , kama ni kweli, then lazima pia umpende huyu jamaa maana yuko kama Nyerere,
na kwa vile leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Mkuu JokaKuu ,

Ha! ha! ha! ... !
Pascal Mayalla ... Hizi nafikiri ndio vile vitu watu wanaviitaga "Ramli Chonganishi!"

​

CCM hawafuati wala kumkaribia hekima za Nyerere,yaani hawa akina Polepole na Bashiru ndio wanafanana na Nyerere ,CCM mambo mingine talatibuni msifanye masihala,ndio yule dada akawaona hamna kitu zaidi ya kuzungumza na wajaza vichwa na sio wapiga kura.
 
Na kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
 
Na kwa vile jana ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo, Rais Magufuli ni mmoja wao. Miradi ya Umeme wa Stigler Gorge na kuhamia Dodoma ni kutimiza ndoto za Nyerere.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli, nina kaswali kadogo, kitendo cha Rais Magufuli cha kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, kwa vile Nyerere alitawala Tanzania kwa kipindi cha miaka 23, na Magufuli anafana na Nyerere, jee unaonaje pia katika kutawala, ili Magufuli azidi zaidi kufanana na Nyerere, mnaonaje tukimpa Magufuli muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10?.

Ili kumuenzi Mwalimu Nyerere kwa dhati, naomba kutumia fursa hii, kuwahimiza wale wote wanaomkubali Nyerere, tarehe 28 October, Watanzania tusifanye makosa, ni asubuhi na mapema, kuwahi katika kituo cha kupigia kura, kumchagua Nyerere wa pili, na ukifika, kazi ni moja tuu,
unachukua...,
unaweka...
malizia...
Happy Nyerere Day.
Paskali
Mkuu bila shaka umepata kuusoma Mpango wa Maendeleo 2025. Utangulizi wa Mpango huo(ambao hata serikali ya awamu hii inautekeleza) umetamka wazi juu ya kufeli kwa strategies na policies zetu katika utawala wa awamu ya kwanza nitanukuu
"The need to formulate a new economic and social development vision for Tanzania emanated from the outcomes of economic reforms - especially those which were pursued since 1986. These social and economic reform measures were taken in response to the economic crisis that had persisted in the country and the world as a whole since the early years of 1980s. Secondly, the government had realised that those earlier development policies and strategies were not in consonance with the principles of a market led economy and technological development occurring in the world."

Binafsi nikiusoma utangulizi wa mheshimiwa Malocho sioni lipi alipindisha. Hata mpango husika huwa nauona uko safi sana na nadhani hata wanaoutimiza hadi leo wanafanya hivyo kulingana na ubora wake. Sikatai juu ya kutimiza ndoto za mwalimu lakini tunatimiza ndoto ipi? Ndoto kubwa zaidi ya mwalimu ilikuwa juu ya kupiga vita umaskini, maradhi na ujinga. Kupiga vita hayo alifanya kila tuliloshuhudia.
Sijajua kwanini wengi wanadhani kumuenzi mwalimu ni kuhamia Dodoma au kujenga bwawa la kuzalisha umeme. Wengi wetu yawezekana tumesahau yakuwa tuna ule umaskini ambao mwalimu aliuita wa kutupwa 60 years after independence.

Ilituchukua miaka 15 kupandisha Per capita income ya watanzania kutoka 200 usd(mwaka 2000)kuja 1045 usd( 2014)· Wengi hatukuangalia hilo kama kutimiza ndoto ya mwalimu. Nadhani hadi kufikia mwaka jana (2019) tumefika angalau kwenye usd 1122 haipaswi kutuchukua miaka 15 mingine kufanya jambo kama hilo, mwenye uelewa na aelewe. Nadhani umebahatika kuisoma FYDP 2, mpango mdogo tunaotekeleza sasa unatamka tufikie per capita ya usd 1500 mwaka huu tuliopo na tupae hadi 3000 usd mwaka 2025. Tungefika hapo ndoto ya mwalimu juu ya umaskini ingekuwa inatimizwa.

Tujenge mazoea ya kuhoji juu ya utekelezwaji wa mipango ya nchi yetu. Tusiyumbishwe na mitazamo ya kisiasa. Tukisema tunaamua kumuenzi mwalimu kwa kufanya yaliyo tofauti na yale tuliyopanga yatutoe kwenye umaskini maradhi na ujinga hakuna mwalimu ambaye tutamuenzi. kwa dira ya maendeleo 2025 nchi hii ilikuwa inapaswa ipige hatua si tu kwenye majukwaa ya kisiasa bali hata kwenye uhalisia.
 
Mkuu JokaKuu , kwa vile leo ni siku ya maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Nyerere Day, tuiadhimishe kwa kuwapongeze viongozi wetu wote wanao muenzi Nyerere kwa kumuishi kwa maneno na matendo,
Happy Nyerere Day.
Paskali
Happy Nyerere Day!
P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom