Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani...
Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko.
Bashungwa...
Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza...
Vitendo vya polisi vinaashiria jambo moja muhimu, kuwa hawa watu hawana akili, hawana weledi, Wamekosa Kabisa Hekima na Utu. Hakuna chochote wanachokijua isipokuwa kupiga watu na kuua. Kuna...
Mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Paul Makonda yupo mkoani Shinyanga kusaka kura za mgombea mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan je, unadhani jimbo la Arusha Mjini halina kero?
Mdau...
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube, nimekutana na video ya Rais Julius Nyerere akiwa New Delhi, India, akipokea tuzo.
Ilikuwa mwaka 1982...
Waziri wa Maji na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Mhe. Jumaa Aweso amesema dhamira ya Dkt . Samia Suluhu Hassan ya kutoa maji ziwa Viktoria ili kuhudumia wananchi wa Mkoa wa...
GT
Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?.
Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko...
"Uchaguzi huu wa Oktoba 29, 2025 ni uchaguzi wa kufanya maamuzi kati ya Maisha halisi na anasa, wapo wanaojadili anasa wakitaka ndio ziwe ajenda za uchaguzi kwamba haki na uhuru wetu umeondolewa...
Maria Paulo Mkazi wa Maswa akielezea furaha yake baada ya ombi lake la kupiga picha ya selfie kukubaliwa na Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewasili mapema leo...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne...
Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama?
Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia?
Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana...
Mgombea ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini, Masanja Kadogosa akizungumzia swala la kulinda amani hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania tarehe 29 mwezi wa 10 mwaka 2025...
Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi...
“Nawasikitikia sana weee...”
Hivi kipi hamkielewi, eeh? Hata kama kusoma hamjui, vipi basi picha, ha? Wasaidizi woti waliyo chini ya Rais, na majeshi yote hayo yalikuwa na viapo viwili, wallah...
Mgombea Urais kupitia Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo ameutaja mfumo wa elimu ya Tanzania kuwa ni usio na maslahi kwa wananchi wake.
Doyo amezungumza hayo akiwa katika muendelezo wa kampeni zake...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi Hawa Mwaifunga leo Oktoba 7,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kusaka kura za kuwa Mbunge wa Tabora mjini.
Mwaifunga akiwa...
Mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini kuptia chama Cha Mapinduzi CCM Paul Makonda amemhakikishia Mgombea urais kupitia cha hicho kuwa Oktoba 29 hakuna maandano na atapewa kura zakutosha...
Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.
Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.