MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo...
Wakuu,
Mwanachi mwenzetu kaongea ukweli kabisa, kuna muda vyombo vya habari tunavyotegemea kutupa habari kwa undani na uwazi vinaamua kutupoteza kwa kukimbia ukweli au na wao wanamilikiwa na...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ikiwa atapewa nafasi ya kuunda serikali kupitia uchaguzi...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka wazee wa mkoa huo kuhamasisha jamii kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025, na kuhakikisha vijana wanalinda amani ya nchi.
Amesema wazee...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kasulu Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Martina Mturano, amejinadi mbele ya wananchi wakati wa ziara za kampeni zilizoongozwa na aliyekuwa Kiongozi wa Chama hicho...
Akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya hoja cha ITV Oktoba 9, 2025 msemaji wa jeshi la Polisi nchini David Misime amekuwa kuwa katika kipindi cha uchaguzi na mchakato wake kunaendelea vizuri...
Mjadala wa mungu katika mambo mbalimbali kama kuwepo au kutokuwepo kwake, kusaidia masikini kuwa matajiri, kuponya wagonjwa n.k utaendelea kwa muda mrefu sana au wakati wote dunia itakapokuwepo...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo atahakikisha anawafikia wajasiriamali...
Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Kuna watu wanawasaidia wagombea wa vyama vya upinzani ili kuikomoa CCM
Dkt. Samia ameyasema...
Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo Jackson Kangoye amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa mkutano wa kampenzi za mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda ametuma salamu Kwa vyama vya upinzani ambavyo vimegomea uchaguzi ambapo amesema wametia mpira kwapani lakini wao Chama Cha...
Hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha ACT Wazalendo chini ya Bodi ya wadhamini pamoja na Luhaga Mpina kupinga uamuzi wa kuenguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea kiti cha Urais,itasomwa...
Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂
-------------
Sehemu ya dua kutoka...
Kumbe kuniwinda kote kule, mnamtafuta Bishop Dr. Josephat Gwajima?
Kwa hiyo, Akili yenu inaamini kila mtu anayepaza sauti ya haki kwenye taifa lazima awe rafiki yangu? Kwa upumbavu wenu mnaamini...
Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika...
Ameyasema hayo kwenye video fupi aliyojirekodi na kuiweka kwenye mitandao yake ya kijamii.
Tukumbuke kuwa viongozi wa dini ya Kikristo hasa dhehebu la Katoliki wamesoma sana Philosophy.
Kwa...
Sauti Yetu kwa Haki, Mwili Wetu kwa Amani – Kuandamana Dhidi ya Utekaji na Mauaji
Ndugu zangu wapendwa, wananchi wenzangu, watetezi wa haki na amani!
Leo, tunakutana hapa si kwa uchungu tu, bali...
Mgombea ubunge wa Rufiji wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa amewasilisha maombi ya wananchi wa jimbo hilo kwa mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi la Rufiji...
Mgombea Mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Emmanuel Nchimbi, akiwa wilayani Kibiti, mkoani Pwani, kwenye, amewaambia wananchi wa Wilaya hiyo kuwa katika Uongozi wa Rais Samia hali ya usalama nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.