Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
Pasco wa JF, naomba jibu lako,
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, CCM siyo mama yangu, siku wakiiacha ile misingi tuliyoanzisha kwayo, nitaiacha -- JK Nyerere (Siku ya kumwaga Kawawa- Mungu Amrehemu)
Kama Edward Lowassa na John Malecela ni Wagombea Urais, Chukueni kadi yenu ya CCM, naenda Nyumbani (JK Nyerere 1995)
Sasa tukubaliane kuwa kuna CCM Mbili, CCM Maslahi (kula) na CCM Imani ( Jaji Joseph S. Warioba 2014).
Naomba kumwuliza Pasco wa JF kuhusu Nyerere ( Weka Kauli ya Warioba pembeni kwanza);
Hivi leo mwl JK Nyerere angekuwa hai (Mungu amrehemu) akaona Sakata la Buzwagi, Richmond, EPA na ESCROW angebaki CCM?
Swali la pili muhimu zaidi, kama Mwl angekuwepo, Je, Lowasa angegombea Urais? Ni swali ambalo nitafurahi sana wanaccm wakinijibu kwa dhamiri safi, ni maombi yangu kuwa PASCO wa JF hataingia Mtini.
WENU
Mikael Aweda.