Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kada wa chama cha mapinduzi (CCM), Baraka shamte amewataka chama kimsaidie Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan katika kumsafisha kwa propaganda zinazotokea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Picha za matukio mbalimbali za Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili Lamadi Wilayani Busega Mkoani Simiyu kwenye mwendelezo wa...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Wazazi na walezi wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dabil, wilayani Babati, mkoa wa Manyara, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, ili...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mstaafu, Felista Njau, amewataka wabebaji mizigo wa Mji Mdogo wa Mbulu kuungana kumuunga mkono Mgombea wa nafasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu ujao...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Oktoba 7, 2025, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, aliendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba, mtaa kwa mtaa katika mtaa wa Kimara Baruti, uliopo Kata ya Kimara...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
08 October 202 Zanzibar, Tanzania KESI YA CUF DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI Wakili wa Bw. Hamad Masoud anayewania kiti cha urais wa serikali ya Zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Anna Mary ambaye ni Mama Mzazi wa Mwanasiasa Humphrey Polepole amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam asubuhi hii ambako inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa maombi...
3 Reactions
18 Replies
862 Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo zinachapishwa kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Leo naendelea na...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu...
1 Reactions
4 Replies
238 Views
Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni...
3 Reactions
13 Replies
547 Views
Kwa sasa jina la Askari Mafwele ndo habari ya mjini kwenye mambo yanayoendelea. Wanaharakati na wafuasi wengi wa CHADEMA wanamtuhumu kuhusika na utekaji. Kwa sasa wanamtuhumu kumteka Polepole...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Uwe askari polisi , uwe daktari, uwe mwalimu, uwe mwanajeshi, uwe hakimu au jaji, uwe mkulima, uwe mfanyakazi, uwe bodaboda uwe Mama ntilie, uwe machinga au uwe jobless usipochukua hatua hiya...
15 Reactions
36 Replies
998 Views
Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile...
4 Reactions
8 Replies
344 Views
Amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo wana JF, Mungu awatunze na kuwalinda na asiwanyime mkate wa kila siku. Mungu wangu anafanya kazi kubwa sana kupitia mie kiumbe wake , nimeoneshwa mambo...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Chief Kipenye wa kabila la Wamwera ametoa wito kwa wananchi wa Ruangwa kujitokeza kwa wingi kushiriki kupiga kura Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kila kura ni sauti ya maendeleo na umoja wa...
1 Reactions
0 Replies
170 Views
Boss kama utaweza kuzingatia ushauri itakua vyema kwa usalama na utulivu wako na familia kwa ujumla ondoka ulipo nenda sehemu yenye utulivu na amani. Kwa sasa mahakama ni mikono yao jaribu...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza...
4 Reactions
22 Replies
895 Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani vikali kauli na maudhui yaliyosambazwa katika mitandao ya kijamii Oktoba 4, 2025, yakionesha watu wanaodaiwa kuwa wanajeshi wakihamasisha Jeshi la...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amewahimiza wafanyabiashara kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 akihimiza kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika siku hiyo hayatofanyika...
1 Reactions
7 Replies
381 Views
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde, amefika mkoani Tabora kunadi sera za chama hicho, akisema kuwa endapo watapewa ridhaa ya...
1 Reactions
7 Replies
333 Views
Back
Top Bottom