Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

To be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence. Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
26 Reactions
112 Replies
13K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wa sayansi wana kitu wanakiita saturation point, yaani ni point ambayo hata ukiongeza kitu fulani kilichokuwa na matokeo chanya kwenye mchakato fulani hapo awali, basi kitu hicho kinakuwa...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
1. HOJA YA WANYONGE. a)Magufuli amekua akijinadi kuwa yeye ni raisi wa wanyonge. -Je anaweza kutuambia wakati anaingia madarakani aliwakuta wanyonge wangapi na mpaka asa wapo wangapi...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wapwa, Sina mengi, hii ndo tume yetu ya uchaguzi, hata upinzani ukishinda kwa asilimia 100%, ni ngumu kutangazwa. Ruge aliwahi kusema: "Ogopa Mungu na Teknolojia" Toa maoni
28 Reactions
174 Replies
19K Views
NEC Jimbo la Serengeti imemtaka Mgombea Urais wa CHADEMA kuheshimu ratiba iliyopangwa ambayo ilimtaka septemba 27 awe na mkutano wa kampeni Serengeti
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama...
30 Reactions
133 Replies
18K Views
Miongoni mwa mambo ya kustaajabisha ya awamu ya tano ni sheria mpya zilizotungwa pamoja na marekebisho ya sheria za zamani waliyoyafanya. Kuna muda ukikaa utafakari unashindwa hata kuelewa hawa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwakuwa tumeanza kujibu hoja za Chadema basi tujibu zote ili tutoke kwenye wakati mgumu huu, maana wananchi kipindi hiki wanasikiliza wagombea wote na kupima hoja zao. MOSI. Chadema kwa kupitia...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu ni mkutano uliopigwa leo na Mbunge wa milele wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi kata ya Ilemi ambaye pia wenyeji wa hapo humuita Rais wa Mbeya . Mtu huyu ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Mbombo i ngafu ,Kazi ipo Wafuasi wa ACT wazalendo Tarime waungana na CHADEMA kumpokea Tundu Lissu wakiwa na uniform zao na bendera zao. Ni dhahiri sasa Tundu Lissu anawachezesha CCM na NEC...
11 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani. Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema wakiingia madarakani watafuta sheria isiyotoa dhamana kwa makosa yote. Amesema kwa kuwa mtuhumiwa sio...
13 Reactions
21 Replies
5K Views
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume...
39 Reactions
76 Replies
8K Views
Sasa viongozi wa CHADEMA majimboni wanashindana kutambiana rekodi. Kazi nzuri sana hii. Tulianzia Morogoro, tukaja Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na sehemu ya Katavi ( Hapa tutarudi pamoja na...
17 Reactions
35 Replies
4K Views
Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu. Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Tundu Lissu is talk of the Town au kwa lugha yetu Tundu Lissu ndiye Habari ya Mjini kwa Sasa. Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameteka nyoyo za Watanzania na ukweli kabisa bila kuongeza...
13 Reactions
25 Replies
4K Views
Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
21 Reactions
93 Replies
18K Views
Back
Top Bottom