Uchaguzi 2020 Lissu alitakiwa kuwa Serengeti leo Septemba 27, kwa mujibu wa Ratiba za NEC

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
NEC Jimbo la Serengeti imemtaka Mgombea Urais wa CHADEMA kuheshimu ratiba iliyopangwa ambayo ilimtaka septemba 27 awe na mkutano wa kampeni Serengeti

1601239389050.png
 
So what?

Ratiba ya kampeni kwa mgombea yeyote inaweza kubadilika wakati wowote so long as kuna sbb za kufanya mabadiliko hayo...

Muhimu ni mgombea kuwasilisha mabadiliko hayo NEC na kueleza sababu za mabadiliko hayo...

Obviously, Tume wakiona hakuna mgombea mwingine eneo/jimbo hilo wataridhia mara moja bila kinyongo..

Nadhani CCM wameingiwa na wasiwasi mmoja. Wasiwasi huo ni namna Tundu Lissu anavyovuta nyayo za mgombea wa CCM alikokwisha pita tayari...

Angalia kuanzia Kagera, Mwanza na sasa Mara. Ni balaa bin balaa...!
 
NEC Jimbo la Serengeti imemtaka Mgombea Urais wa CHADEMA kuheshimu ratiba iliyopangwa ambayo ilimtaka septemba 27 awe na mkutano wa kampeni Serengeti

View attachment 1583076
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail....
 
Magufuli kampeni weekend hawezi kabisa hakuna anayeweza kutoka kwake kwenda kumsikiliza anategemea kuwapa wafanyakazi na wanafunzi off kwenda kutazama wasanii ndio aonekane amejaza vichwa.
Kwa hiyo anaona aibu kukosa nyomi na anaona fahari kupata nyomi feki, magu ni shida
 
Back
Top Bottom