Uchaguzi 2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,557
8,341
WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake

Uongozi wa Magufuli mnasema umenunua ndege, umejenga fly over, umejenga viwanja vya ndege Chato, umewasamehe wakina Lugola ubadhirifu, umejenga meli, umejenga barabara, umefanya maendeleo kedekede, tunachohitaji nendeni mkawaeleze wananchi mliyoyafanya wawape tena 5 nyingine. Lakini kutegemea Lissu asigombee tume CCM haiwezi wasaidia.

Sisi tunaenda na Lissu tuu, na CHADEMA tunamuhitaji Lissu heri tushindwe tupigwe mabomu tukiwa na Lissu, kama mnahitaji chama kife msimpitishe Lissu kuwa mgombea wenu

Nawatahadharisha tu CCM, Lissu sio kondoo kama mzee Lowassa anajua kuidai haki.
 
Huyo Lisu anatakiwa mahakamani kwa kuruka dhamana. Nampa pole kwani anaweza kufanyia kampeni zake gerezani
 
CCM wanajinadi wameleta maendeleo lakini cha ajabu wanamuogopa Tundu lisu mpaka kupelekea kutaka afungwe na mahakamaccm akaambukizwe Corona iliyoandaliwa na cyprian Musiba huko magerezaccm afariki iwe kafara yao, kama CCM mnaamini mmeleta maendeleo iweje kuhangaika kumhujumu kudhoofisha chadema kwa ngumu ya mahakamaccm?
 
CCM ndiyo wamempa umarufu Tundu lisu pasipo kujua kutokana na kuendelea na mbinu zao za kumhujumu kila kukicha

Ni wapi CCM ' imemuhujumu ' Tundu A Lissu Mkuu? Je, unao ' Ushahidi ' wa Kutosha usio na Shaka juu ya haya ' Madai ' yako ya ' Kipopoma ' hivi?
 
Huyo Lisu anatakiwa mahakamani kwa kuruka dhamana. Nampa pole kwani anaweza kufanyia kampeni zake gerezani

Usiseme mahakamani, sema kwenye majengo ya mahakama yanayoendeshwa na wanaccm ili kukomoa wapinzani. Maana hivi tunavyozungumza huko Singida kwenye majengo ya mahakama, kuna majaji wa ccm wanawakomoa wanachama wawili wa CHADEMA kwa kuwanyima dhamana. Bila machafuko nchi hizi, sioni mifumo ya sheria ikifanya kazi zake, zaidi ya kutumika na wanacdm kuwakomoa wapinzani. Inatakiwa hao majaji wa ccm wachomwe moto kama wawili ili watende haki.
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom