Uchaguzi 2020 Bendera za ACT-Wazalendo zapepea kwenye mkutano wa Tundu Lissu Tarime

Huliza

JF-Expert Member
May 5, 2017
392
982
Mbombo i ngafu ,Kazi ipo
Wafuasi wa ACT wazalendo Tarime waungana na CHADEMA kumpokea Tundu Lissu wakiwa na uniform zao na bendera zao.

Ni dhahiri sasa Tundu Lissu anawachezesha CCM na NEC segere

Hii ni kidalipo

Kama ni ndumba au Mzizi basi huu mzizi ni somba somba na Mzizi wa kimbunga

Tundu Lissu akiwa Rais atupeleke kwenye huu mzizi wa kujaza watu bila matangazo ya television na kuswaga kama punda

Huyu Mganga wake anatumia uchawi gani kushawishi watu wamfuate Lissu uwanjani na barabarani, Hii ni dawa ya nchi gani?
 
NI YEYE
20200927_155732.jpg
 
Mbeya day wanafunzi wamerudishwa leo wachukue nguo za nyumbani, ambao hawana wanunue kwaajili ya maandalizi ya mapokezi ya mwenyechama.
 
Sasa hapo sijui watamshitaki nani!!
Ndugu yangu ni hii roho mbaya tu ya ccm ya kupenda kudhibiti kila kitu. Hebu jiulize kwanini wanazuia vyama kuungana??.......kuungana ni zaidi ya kutiliana mikataba na kuipeleka kwa msajili kama lilivyo takwa la kisheria.
Kwa ubaya alotufanyia Magufuli kwa miaka 5 naamini kuwa hata ndani ya CCM kindakindaki wapo wanaomuunga mkono lissu. Hivyobasi kuepuka sheria ya hovyo inayozuia vyama kuungana nashauri waendelee kutumia njia zinazo ikwepa sheria huku wakionesha kwamba wameungana kama kwenye bendela, itapendeza zaidi wakipata wana CCM wajasili wasiopendezwa na utawala huu wakajumuishwa hata jukwaa kuu wakiwa na uniform zao- itasaidia kujenga ujasiri kwa waoga. Kuungana ni zaidi ya kuandikishana, naweza nisiseme kwa maneno nikakuunga mkono kwa matendo. Matendo ni kila kitu.
 
Alijua kujenga matuta barabarani akayaita flai-ova na kununua madege yanaytumika kama mzalia ya popo watu watampenda. Kumbe bwana, wanamchora tu.

Aliuefika ahera na kurudi hajanunua hata msumari ndiyo watu wanamtaka. The world is not fair kwa kweli.
Mkuu, huyo mtoka ahera naye si kwamba anayo miujiza, hapana, isipokuwa anazungumza maisha ya watu, mfano:- wakati Magufuli anasema hakuna fao la kujitoa, Lissu asema litakuwepo, Magufuli anasema ntatumia kikokotoo kinacho punja mstaafu, Lissu anasema ntatumia kikokotoo kinacho mpa maslahi mazuri mstaafu, wakati Magufuli akisema siongezi mishahara mwenzake anasema nitaongeza mishahara na kupandisha madaraja, wakati Magufuli akimwambia mkulima wa mbaazi kuwa mbaazi zichemshwe ziliwe kwani zina protein nyingi, Lissu anasema ntatafuta soko zuri mkulima auze.,...............
 
Mbombo i ngafu ,Kazi ipo
Wafuasi wa ACT wazalendo Tarime waungana na CHADEMA kumpokea Tundu Lissu wakiwa na uniform zao na bendera zao.

Ni dhahiri sasa Tundu Lissu anawachezesha CCM na NEC segere

Hii ni kidalipo

Kama ni ndumba au Mzizi basi huu mzizi ni somba somba na Mzizi wa kimbunga

Tundu Lissu akiwa Rais atupeleke kwenye huu mzizi wa kujaza watu bila matangazo ya television na kuswaga kama punda

Huyu Mganga wake anatumia uchawi gani kushawishi watu wamfuate Lissu uwanjani na barabarani, Hii ni dawa ya nchi gani?

Ni yule aliyemponya area D
 
Alijua kujenga matuta barabarani akayaita flai-ova na kununua madege yanaytumika kama mzalia ya popo watu watampenda. Kumbe bwana, wanamchora tu.

Aliuefika ahera na kurudi hajanunua hata msumari ndiyo watu wanamtaka. The world is not fair kwa kweli.
Vipaumbele vyake sio vipaumbele vya wananchi
 
Ndio maana meko ametoa maagizo tume. Isimamishe kampeni za lisu.
Mkuu haiwezekani ,Kama mungu aishivyo wakaribu ,na nasema haiwezekani maana mungu ni fundi, isitoshe tz siyo ya ccm au chadema au chama chochote ,tz ni ya watanzania wote wenye vyama na wasio kua na vyama so wasidhubutu ,wakidhubutu, mungu ataamua juu ya taifa lake na watu wake
 
Back
Top Bottom