Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya ADC, Queen Sendiga aahidi kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendeleza Kampeni jijini Dar ambapo Septemba 27 alitembelea soko la Stereo Temeke na kuongea na wafanyabiashara

Amewaahidi wafanyabiashara hao kufuta tozo na kodi zisizo na mashiko kwa wafanyabiashara wadogo. Hivyo amewaomba wampatie kura ili awe rais

Pila aliweza kufanya mkutano wa kampeni Mbagala katika viwanja vya Kurasini Mpya

1601271981037.png
 
Wajanja wana copy na kupaste kwa Lissu. CCM wamebaki kulalamika tu wameshakuwa wapinzaninkabla ya uchaguzi.
 
lakini hawa wote si wanajua kua hawatoboi?

jiulize wanachotafuta ni nini ?
 
Ukiachana na Lissu pamoja na mzee Rungwe huyu maza nae anajiweza sana jukwaani. Sema kachagua platform mbaya tu haitomfikisha mbele
 
Back
Top Bottom