Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Wakuu wa JF Is there any posibilities of having legal department here at JF? Kiwe kitengo cha kuzungumzia Sheria mbalimbali ili tuweze kuleta Mawakili, Majaji Mbalimbali kwenye forum hii ya JF...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Na Mpoki Bukuku MKAZI wa Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam, amenusurika kufa baada ya kupigiliwa na misumari kwenye msalaba na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira, kwa tuhuma za kuiba baiskeli...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani naombeni kupata ufafanuzi kuhusu sheria za usalama barabarani, JE TRAFIKI ASIPOWEKA PLATE NAMBA KWA GARI YAKE NI HALALIHii naiona sana hapa Arusha kwa Police traffic mmoja anayeitwa Hemedi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimejaribu kutafuta kwa haraka sheria inayokataza pornography katika Tanzania. Najua ipo mahali fulani. Sijui kama ni ile ya utangazaji au ya magazeti au ya ndoa au SOSPA n.k Kama kuna mtu naomba...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Halima Mdee, Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni wizara ya sheria na katiba leo ameuchambua mswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni. Mbunge huyo ameeleza wazi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama kweli Wabunge wetu ndio tumewachagua, ama kuteuliwa na Rais kutunga Sheria, halafu wao ndio wavunja sheria tuna kazi. Wanapigania kuondoa ufisadi, kumbe nao wanadhulumu wafanyakazi wao. Soma...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanabodi, sheria ya Tanzania inasema nini juu ya hili? Ni nani hasa anapaswa kuwa mlezi wa mtoto baada ya talaka?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya hizi sheria za mafao ya viongozi zimekaa kimtego zaidi . Inabidi zifanyiwe marekebisho hili kulinda maslahi ya Taifa. Mfano mtu aliyeshindwa uongozi kwa uzembe au ufisadi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
The reclassification of cannabis as a Class B drug has come into effect in England and Wales amid complaints the new laws are "illogical". Ministers went against their advisors to upgrade the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je mara ngapi viongozi wetu usigina katiba na watu wakakaa kimya? Kumbuka jana, Hon. CJ John Roberts 'fumbled' wakati akimlisha kiapo Rais Obama, madhara ya kikatiba yangeweza kutokea Obama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Journalists must cooperate with us, warn MPs Kenya Members of Parliament have passed a contentious law allowing raiding of media and giving Government powers over broadcast content. The...
0 Reactions
36 Replies
16K Views
Je tuko tayari kulifanya kuwa kosa la jinai kwa mtu anayeambukiza ukimwi makusudi? Vipi kuhusu wapenzi kupelekewa kopi ya HIV Status Yako? Ugandan Bill Would Require HIV Status Disclosure...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Call for law to disclose, limit campaign finance 2008-12-17 11:52:52 By Correspondent Gerald Kitabu Politicians, lawyers and some University of Dar es Salaam lecturers have underscored...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kijana Saeed Ghanbari anachapwa mijeledi 80 hadharani kwa kosa la kulewa na kuzini ikumbukwe kuwa kijana huyu bado hajaoa.Hii imetokea nchini Iran. Je hii sharia ikija nyumbani hapa nani atapona??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa kutamka kwamba atakayerudisha Fedha alizoiba atamwachia huru, Kikwete kavunja sheria ya nchi. Kutokana na mujibu wa sheria ni lazima mtu ahukumiwe ndio rais anaweza kumsamehe. "45.-(1)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yanayotokea hivi sasa jimbo la California nchini Marekani baada ya uchaguzi ulioisha hivi majuzi, yamezua maswali kuliko majibu. Hapo nyuma wakazi wa CA waliwahi kupiga marufuku ndoa za mashoga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wananchi, Sheria mama inayoliongoza taifa lolote ni katiba ya taifa husika. Kwetu sisi watanzania tunayo katika ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Katiba yetu hii ndio mzani wa kupima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuesday, 21st October 2008 Updated 10 hr(s) 55 min(s) ago By Cyrus Ombati Police have questioned High Court Judge GBM Kariuki over the stabbing of a motorist after a minor road accident in the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Mwandishi Maalum, (Habari Leo) Kyela, Mbeya Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumamosi Oktoba 11, 2008) ametawazwa kuwa chifu wa Kabila la Wanyakyusa na amepewa jina rasmi la Chifu Mwangupili. Rais...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Last Updated on: 15.10.2008 0519 EAT (1205 GMT) (Dar Leo) • Achapwa viboko kwa kuchezea nyeti za watoto Na Rehema Maigala, Kinondoni MSHITAKIWA Rahimu Issa (22), mkazi wa Sinza...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom