Msaada wa kisheria

mchujanafaka

New Member
Aug 30, 2008
1
0
Nimesoma baadhi ya magazeti ya wiki hii wakisema Inter consult ina tafuta mkurugenzi wa Kampuni inayoongoza uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA KADCO
Chan kunishangaza zaidi maombi ya pelekwe kwa jamaa mmoja Anayeitwa DAVID Mosha ambaye ni minority shareholder wa kamuni hiyo,
cha kushangaza zaidi ni kwamba huyu huyu alituletea mkurugenzi mwingine ambaye alikataliwa na wafanya kazi kwa kuwa hakuwa na mahusianao mazuri na chama cha wafanya kazi,
Huyu huyu alikuwa mstari wa mbele kumtetea arudi na kumuombea radhi kwa wafanya kazi, lakini wafanya kazi walikataa.
Sasa naomba ushauri kwa wenye taaluma ya sheria, je kwa kupitisha barua za kuomba nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji je atatutendea haki hao wafanya kazi waliopo ndani ya KADCO? na je mchakato anaoutumia wa kumpata Mkurugenzi ni sahihi?
Kwa nini barua za maombi zisipitishwe kwa recruitment firm au kaimu mkurugenzi?
Je wafanya kazi wakienda kuzuia mahakamani itawezekana?
naombeni ushauri wenu wana jamii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom