Mustafa mkullo haziheshimu sheria za barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustafa mkullo haziheshimu sheria za barabarani

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Tuandamane, Sep 19, 2008.

 1. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Jana saa kumi na moja na dakika hamsini na nane (17:58), gari la waziri wa fedha na uchumu (lenye namba za usajiri W FU) na ndani akiwemo waziri mwenyewe wa fedha na uchumi bwana M Mkullo, likiwa maeneo ya upanga karibu na AMREF kuelekea California Dreamer, dereva aliepuka barabara kuu na kupita "service road" nikiwa na matumaini akiwa na nia ya kukwepa foleni hasaa baada ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu

  Je Mkullo hajui sheria za barabarani?

  Je Mkullo hakuweza kumshauri dereva wake afate sheria?

  Je Mkullo anaona hiyo ndio njia pekee ya kukwepa ttz la foleni ambalo serikali yake imelikosea ufumbuzi?

  Je Mkullo anatufundisha nini sisi wananchi hasa ikiwa yeye ni kioo cha jamii?

  Je haoni kuwa ana tuonyesha dalili za dharau zake kwa bunge ambalo zimetunga sheria hizo?

  Je Mkullo aliona kuwepa foleni kwa kupita barabara ya dharura ni suluhisho??

  Je Mkullo haoni kuwa kwa mara nyingine tena katumia cheo chake vibaya?

  Je Mkullo haoni umuhimu wa yeye kujiuzulu??
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kwanza inasemkana ana degree feki na rais kampa uwaziri wa fedha

  sayas alot about our priorities
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Hata mimi Nilimuona nikashangaa maana huwa tunawaona mawaziri wengine wakiwa foleni hata kama 3 hrs au yeye ni Zaidi ya mawaziri wengine?nilimuona kabisa .........................na Vx new Model lake
   
 4. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hii imeonyesha ni kiasi gani yeye mwenyewe binafsi HAJIHESHIMU KABISA
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi tatizo ni la Mkulo au dereva wake? Au Mkulo alikuwa anaendesha mwenyewe?
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Trafic vp hawakuwepo kwani eneo hilo??Je hawa wazee wa favor wange mwona wangefanyaje ndo kwanza wangepisha au vp??
   
 7. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huoni hapo wa kulaumiwa ni Mkullo??
   
 8. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hao wazee wa feva wangefanya nn iwapo kazi yao kuu ni kuwalinda hao kwa mali na mali
   
 9. M

  Masatu JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tushapoteza mwelekeo kila mtu anafanya kivyake juzi waziri kapigana leo waziri "katanua" kwenye foleni. Nchi ime switch into auto pilot!
   
 10. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Af JK anaendelea kuuza sura tuu an yale meno pia
   
 11. O

  Ogah JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hivi ni mara ngapi mmemshuhudia Mkullo akitumia njia hiyo ya dharula...........Hivi kuna mmoja kati yenu aliyemsimamisha na kumuuliza kama alikuwa na dharula au lah??...........mlitaka aanze kuwaambia nina dharula ndio mkubali..........hata wewe Tuandamane ungekuwa na dharula.........ni rukhsa.......au?

  .........dharula iwe dharula kweli na isiwe abused.......otherwise law enforcers ndio wana matatizo..............
   
 12. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  NImekuelewa, lkn ninavoelewa ukiwa na dharura japo uwashe "hazard lights" Mkullo hakufanya hivyo, na kwa jinsi muonekano wake ulivokuwa alikuwa hana dharura yeyote alikuwa amerilax kabisa anasoma gazet

  Pili hii sheria ya dharura kihivo nani kaipitisha, inabidi ifike wakati tuseme NO! to these kind of "cheap actions" ni lini tutafika tunakokutaka kama bado tunasifia hivyo vidharura na kwa haraka nadhani kumi ya raia waliokuwa kwenye ule msururu walikuwa na dharura ikiwemo mimi mwenyewe na nilivumilia foleni

  ili tuendelee hata hivi vitu vya namna hii tunatakiwa tuvikatae
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kitendo hicho Mkullo kina tofauti gani na Batilda Buriani na mawaziri wengine kuwa na watumishi wa ndani , wakiwa na uraia wa nje na hawana vibali vya kazi wala kuishi Nchini .Kwa neno la kujua Kiingereza kwa ajii ya wageni wao majumbani mwao ?

  Kuna tofauti gani na Mama Salma kutumia WAMA kama shield na kufanya mambo yake ?
  Tofauti ipi na CCM kusema hakuna mafisadi wakati wanajua Nchi inayumba kwa tabia zao wa udokozi na wizi ?

  Mkullo ni reflection ya Utawala mzima wa JK
   
 14. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkullo kama alikosa integrity na kulala na mtoto aliyekuwa mdogo kuliko umri wa mwanawe wa kwanza unafikiri anaweza kuwa na integrity ya kuheshimu traffic stipulations? Au kupata degree credible?

  Kama mtu ameamua kuchukua shortcut ya elimu kwa kuchukua degree feki, unafikiri kweli atashindwa kuchukua short cut ya kuchukua service road.

  Kama mtu ameamua kuchukua short cut ya ku cook up data za budget, na ku present data feki bungeni, unafikiri ataogopa kuchukua shortcut ya service road?

  I am more worried by other shortcuts we may not be readily privy to_Ones that we will only find out in hindsight.

  Mambo kama haya yanasema mengi sana kuhusu sio tu Mkullo, bali hata Kikwete na utawala wake mzima pamoja na wote wanaowachagua.
   
 15. Waga

  Waga JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2008
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Vitu vingine vinaboa kha......... Huyu mheshimiwa ni kweli hapendi kufuata sheria za barabarani hivi mnahabari kama gari yake iliua mtoto pale wami dakawa?? Kama hamjui basi habari ndo hiyo, jamaa alipita pale na speed ya ajabu while kuna vibao vinavyokuonyesha kuwa utembee na speed 50,walimgonga mtoto ambaye alifariki pale pale, gari yao ilibaki kidogo tu ianguke maana ilitembea umbali wa mitaka kama 50 hivi ndo ikasimama, lakini kwa wema wao wakageuza wakauchukua ule mwili wa marehemu na kuupeleka kituo cha polisi ambacho hakikuwa mbali na eneo la tukio..... Cha ajabu tukio hili halikutangazwa kabsaaa ila angekuwa NCHUMARI ndo kasababisha hiyo ajali tungesikia kila pande ya nchi hii na adhabu ambayo angeipata
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Yote alijitakia mwenyewe huyo mkullo kwa sababu alikuwa mvivu wa kufikiri na kukaa darasani na aka attend classes yaani both lectures na seminars

  kwa kutafuta short cut akaamua (allegedly) kufoji/kununua/ hiyo degree yake sasa hayo ndio matokeo yake

  the man isnt a critical thinker na kapewa jukumu la kusimami pesa za watu milioni 40
   
 17. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0


  hii inabidi CSI TEAM ya JF iifanyie kazi

  na si hivyo tuuu....asisikie mkeo ananukia dudi huyu...hajali ni mwezi wa toba wala nini

  Hivi wale wagazija waliomuadopt sijui wanajisikiaje....
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Asante Pundit! You made my week end....Mkulo ni zaidi ya tunayemfahamu.
   
 19. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2008
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kwa kifupi tu mnakwenda mbali, 75% ya kabineti ya Muungwana ni uchafu mtupu. Hii ya kuchukua njia ya mkato si yeye tu, ghariba wa hii ni Dr.Husein Mwinyi.
   
 20. O

  Ogah JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ..........mi nakuambieni mijtu mijinga mijinga (au ile inayojifanya mijinga) ndio kila siku itaendelea ku-abuse nafasi/dhamana walizonazo and they will get away with it.............
   
Loading...