Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hii ni kuonyesha kuwa Wasaudi wanatumia mila zao na sio sheria za Kiislamu. Angalia jinsi wenyewe wasivyoridhika na mchanganyiko huu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana wakati Rais Kikwete akiwa anazindua komandi ya kikosi cha ardhini cha jeshi letu JWTZ aliutangazia umma kuwa ameamua kuongeza muda wa kustaafu kwa wanajeshi eti kutoka miaka 57 hadi miaka 60...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Anybody have more detail on this. What information will now be available that was previously classified? Law to enhance right to information on the way, says government 2009-03-07 11:44:42...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
When it comes to harmonisation of laws in the region, mojawapo wa swala linalo jadiliwa sana ni la ardhi. Leo mimi nina swali Je itakuwa kosa kutakiwa mtu kumuomba ruksa mke/mume na...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
As it is well mentioned in The Tanzania Constitution 1977 that "Every person has a right to live and to the protection of his life by the society in accordance with the law".Then as I come to read...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau kuna siku nilikuwa kwenye gari ndogo barabara ya Shekilango, kuna dala dala lilikuwa mbele yetu (Ubungo - msasani) Ghafla lilisimama katikati ya barabara na brake light hazifanyi kazi...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Wakuu wa JF Is there any posibilities of having legal department here at JF? Kiwe kitengo cha kuzungumzia Sheria mbalimbali ili tuweze kuleta Mawakili, Majaji Mbalimbali kwenye forum hii ya JF...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Na Mpoki Bukuku MKAZI wa Manzese Uzuri, jijini Dar es Salaam, amenusurika kufa baada ya kupigiliwa na misumari kwenye msalaba na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira, kwa tuhuma za kuiba baiskeli...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani naombeni kupata ufafanuzi kuhusu sheria za usalama barabarani, JE TRAFIKI ASIPOWEKA PLATE NAMBA KWA GARI YAKE NI HALALIHii naiona sana hapa Arusha kwa Police traffic mmoja anayeitwa Hemedi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimejaribu kutafuta kwa haraka sheria inayokataza pornography katika Tanzania. Najua ipo mahali fulani. Sijui kama ni ile ya utangazaji au ya magazeti au ya ndoa au SOSPA n.k Kama kuna mtu naomba...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Halima Mdee, Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni wizara ya sheria na katiba leo ameuchambua mswada wa mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni. Mbunge huyo ameeleza wazi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama kweli Wabunge wetu ndio tumewachagua, ama kuteuliwa na Rais kutunga Sheria, halafu wao ndio wavunja sheria tuna kazi. Wanapigania kuondoa ufisadi, kumbe nao wanadhulumu wafanyakazi wao. Soma...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanabodi, sheria ya Tanzania inasema nini juu ya hili? Ni nani hasa anapaswa kuwa mlezi wa mtoto baada ya talaka?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya hizi sheria za mafao ya viongozi zimekaa kimtego zaidi . Inabidi zifanyiwe marekebisho hili kulinda maslahi ya Taifa. Mfano mtu aliyeshindwa uongozi kwa uzembe au ufisadi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
The reclassification of cannabis as a Class B drug has come into effect in England and Wales amid complaints the new laws are "illogical". Ministers went against their advisors to upgrade the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je mara ngapi viongozi wetu usigina katiba na watu wakakaa kimya? Kumbuka jana, Hon. CJ John Roberts 'fumbled' wakati akimlisha kiapo Rais Obama, madhara ya kikatiba yangeweza kutokea Obama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Journalists must cooperate with us, warn MPs Kenya Members of Parliament have passed a contentious law allowing raiding of media and giving Government powers over broadcast content. The...
0 Reactions
36 Replies
16K Views
Je tuko tayari kulifanya kuwa kosa la jinai kwa mtu anayeambukiza ukimwi makusudi? Vipi kuhusu wapenzi kupelekewa kopi ya HIV Status Yako? Ugandan Bill Would Require HIV Status Disclosure...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Call for law to disclose, limit campaign finance 2008-12-17 11:52:52 By Correspondent Gerald Kitabu Politicians, lawyers and some University of Dar es Salaam lecturers have underscored...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kijana Saeed Ghanbari anachapwa mijeledi 80 hadharani kwa kosa la kulewa na kuzini ikumbukwe kuwa kijana huyu bado hajaoa.Hii imetokea nchini Iran. Je hii sharia ikija nyumbani hapa nani atapona??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom