Sheria ya NGO 2002 inafanya kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya NGO 2002 inafanya kazi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Hofstede, Sep 8, 2008.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2008
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Wana JF ninapenda kujua kuwa sheria ya NGO ya mwaka 2002 inafanya kazi na je kama inafanya kazi ni vipi kumekuwa na NGO nyingi ambazo ni briefcase, yaani watu wanaandika plan zao wanapeleka kwa wafadhili then wanavuta mamilion ya pesa. Je kuna mtu NGO Act 2002 as Ammended in 2005 aiweke hapa jamvini?. au ani PM
   
Loading...