• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
M
Reaction score
27

Profile posts Latest activity Postings About

 • Kaizer
  LOL mama ndo unaturingishia ivo na hiyo avatar! hujambo lakini?
  M
  Kaizer sijambo ndugu yangu.

  Sijaweza jinsi za kukuachia visitor message; huwa nakuanchia user note, I hope huwa unazipata.

  Stay blessed.
  Kaizer
  hi mama hujambo jamani? Maisha yanakwendaje? huku kwema
  M
  Marahaba Steve,

  huku salama salama hofu kwako; wadogo zako nao hawajambo wanakusalimia.
  Steve Dii
  Mama, shikamoo.
  Salama huko lakini... na wadogo zangu wanaendeleaje?!

  Son
  Kaizer
  Mama sijambo sana, kweli sikukuu ziliniweka mbali kidogo na hapa ukumbini ila sasa nimerudi,, vipi hali yako? mwanao sijambo kabisa!
  BAK
  Hello Mama,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  Steve Dii
  Thanx Mom... Happy holidays to you too! Nitakuja na mfuko wa rambo kuchukua pilau... lol :)

  Son
  Ab-Titchaz
  Happy holidays to you and yours and may the new year bring blessings to thy fruit basket.
  Kevo
  Merry Christmass and a Prtosperous New Year.
  May The Cool Winds That Drift Your Way Bring You Happiness That You May Be Forever Be Thankfull For!
  Happy Holidays.
  M
  Marahaba Steve, hujambo kabisa baba? Karibu tena nyumbani. Nikutayarishie nini?
  Kuntakinte
  Amina Rabbi Amina, Nashukuru sana Mama. Nakutakia na wewe Pia EID njema. Take care and Stay Blessed
  M
  Nawatakieni nyote furaha na amani tele katika kusherehekea siku hii ya Eid.
  Steve Dii
  ambacho ningeandika Mama: ni hotuba ya JK ya 31 October.... hata mimi ningeweza kuiandika, tena ningeiandika huku nimefumba macho!!!..... lol

  seriously.. i don't know right now, but i will write however short that might be!!
  Kuntakinte
  Mama hofu na mashaka kwako, huku salama sijui wewe kwa pande hiyo.

  Mambo ni mengi Mama ndio maana unaona hata watu kasabahiana inakuwa nadra ila naamini JF ni kisima cha makutano na muungano wa Waungwana.

  Stay Blessed.
  Kuntakinte
  Salama Mama, Mambo yanakwendaje kwa ujumla wake? Nashukuru sana kupata message kutoka kwako, Stay Blessed.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top