Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kama msichana umeolewa na mwanaume ambaye tayari umemkuta na vitu vyake, I mean may be umemkuta na mali kama Nyumba, magari na vitu kama hivyo, na kila kitu kipo kwenye jina lake. je kwa kisheria...
Assalaam Alleikhum wana JF,
Nakuombeni, yeyote anayejua chuo chochote na kutoka popote, kinachotambulika hapa TZ na kinatoa diploma au/na degree za sheria kwa njia ya correspondence/distance...
Watawala wasioheshimu utawala wa sheria, wanatawalaje?
Mwandishi Wetu Aprili 29, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
KUNA kila dalili kuwa watawala wetu wana tatizo la kuheshimu...
EU judges want Sharia law applied in British courts
By Daily Mail Reporter
Last updated at 8:01 AM on 27th April 2009
Controversial: An EU plan is calling for family courts across Europe to...
Ndugu wananchi; nahisi sasa hii nchi inaelekea sipo;na kama raisi anashindwa kuwasimamia hawa anaowaajiri basi wananchi imefika saaa ya kuamka na kufanya yale tunayoyaitaji
Hivi karibuni...
Muswada wa Sheria ya DNA wapitishwa
Thursday, April 23, 2009 11:53 AM
BUNGE la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imepitisha muswada wa sheria ya kusimamia matumizi ya Teknolojia ya DNA ya...
Issue: with technology taking its path in our daily lives, can Bakwata grant a divorce based on the text message?
Saudi man divorces wife by text message
Thu Apr 9, 10:19 am ET
RIYADH...
Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka ameongezewa shitaka la kumtishia kumpiga kwa bastola Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Arusha, James Ole Millya.
Shitaka hili liliongezwa...
Mara nyingi nimekuwa nikiona kwenye 'traffic jam' madreva wa magari ya jeshi la polisi au JWTZ wakiwasha 'emergency lights' na kutanua na halafu wakishapita magari mengine yanawafuata nyuma na...
Ndugu zangu wenye upeo mkubwa kwenye mambo ya kisheria, naomba mawazo yenu kwenye hii scenario hapa chini:
Hapo zamani la kale baba yako kabla ya kufariki analikujulisha kwamba anashare kwenye...
Who is visiting "Ze Utamu"? Athari za Utandawazi na haki za Utamaduni wa mtanzania
Kuna hii web site inayosumbua akili za watanzania wengi sana nimeamua kuitumia kuelezea suala la usimamizi wa...
Move to remove law that bars Catholics from marrying into British royal family
Robert Winnett, TELEGRAPH,
London
March 27, 2009
BRITISH Prime Minister Gordon Brown has opened talks with...
The government has established a number of Regulatory authorities among others includes: EWURA,SUMATRA,TACRA,TFDA etc.etc... . I am flabagasted by the way they operate! It is understood that...
Although Tanzania expects to have a new mining law adopted before June, the nation's Energy & Mines Minister William Ngeleja said it will not significantly affect existing mining operations...
Kuna jambo linanitatiza kwa muda sasa, nimefikiria sana jibu lake silipati. Nimeona niliweke hapa mbele yenu muweze kunisaidia. Mtu anapoamua kugombea ubunge anakuwa na kazi yake anayoifanya labda...
Kwa mtindo huu, mimi nimeshajikatia tamaa wazalendo wenzangu!!!! Tunafinga point watu wachache kumbe jamii nzima imeoza....
origina document should be this
Kwa hisani ya Habari Leo
Joseph...
Wasalaam,
Natumaini unakumbuka vizuri sana kuhusiana na suala ulilowahi kuuliza hapo nyuma kuhusu sheria inayohusiana na masuala ya pornography. Napenda kukujulisha ya kwamba sheria Namba 6 ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.