Hii Sheria ingekuja hapa Tanzania nani angepona?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Kijana Saeed Ghanbari anachapwa mijeledi 80 hadharani kwa kosa la kulewa na kuzini ikumbukwe kuwa kijana huyu bado hajaoa.Hii imetokea nchini Iran.
Je hii sharia ikija nyumbani hapa nani atapona??
1.jpg
 
Kijana Saeed Ghanbari anachapwa mijeledi 80 hadharani kwa kosa la kulewa na kuzini ikumbukwe kuwa kijana huyu bado hajaoa.Hii imetokea nchini Iran.
Je hii sharia ikija nyumbani hapa nani atapona??
View attachment 3081

Ajabu ya hiyo SHARIA, dume linarambwa bakora tuu, ila mwanamke anapigwa mawe hadi kufa!!! Sidhani kama sharia ya namna hii inahitajika bongo!
 
Back
Top Bottom