Naomba msaada wa kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kisheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kitia, Sep 3, 2008.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Natanguliza salamu.

  Nina jamaa yangu ambaye kwa bahati mbaya ana matatizo ya akili (Alzheimer) ambayo yanamfanya asiweze kumudu shughuli zake za kila siku. Amekwenda kwa daktari na ikathibitishwa kwa vipimo kuwa anao ugonjwa huo. Daktari ameandika testimonial kuwa jamaa yangu hamudu tena shughuli zote muhimu km benki nk na anahitaji uongozi wa jamaa wa karibu. Ni njia zipi ambazo tunapaswa kufuata kisheria ili hati ya kuruhusu kuwa na msaidizi/msimamizi kutolewa?
   
Loading...