Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

The reclassification of cannabis as a Class B drug has come into effect in England and Wales amid complaints the new laws are "illogical". Ministers went against their advisors to upgrade the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je mara ngapi viongozi wetu usigina katiba na watu wakakaa kimya? Kumbuka jana, Hon. CJ John Roberts 'fumbled' wakati akimlisha kiapo Rais Obama, madhara ya kikatiba yangeweza kutokea Obama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Journalists must cooperate with us, warn MPs Kenya Members of Parliament have passed a contentious law allowing raiding of media and giving Government powers over broadcast content. The...
0 Reactions
36 Replies
15K Views
Je tuko tayari kulifanya kuwa kosa la jinai kwa mtu anayeambukiza ukimwi makusudi? Vipi kuhusu wapenzi kupelekewa kopi ya HIV Status Yako? Ugandan Bill Would Require HIV Status Disclosure...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Call for law to disclose, limit campaign finance 2008-12-17 11:52:52 By Correspondent Gerald Kitabu Politicians, lawyers and some University of Dar es Salaam lecturers have underscored...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana Saeed Ghanbari anachapwa mijeledi 80 hadharani kwa kosa la kulewa na kuzini ikumbukwe kuwa kijana huyu bado hajaoa.Hii imetokea nchini Iran. Je hii sharia ikija nyumbani hapa nani atapona??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa kutamka kwamba atakayerudisha Fedha alizoiba atamwachia huru, Kikwete kavunja sheria ya nchi. Kutokana na mujibu wa sheria ni lazima mtu ahukumiwe ndio rais anaweza kumsamehe. "45.-(1)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yanayotokea hivi sasa jimbo la California nchini Marekani baada ya uchaguzi ulioisha hivi majuzi, yamezua maswali kuliko majibu. Hapo nyuma wakazi wa CA waliwahi kupiga marufuku ndoa za mashoga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wananchi, Sheria mama inayoliongoza taifa lolote ni katiba ya taifa husika. Kwetu sisi watanzania tunayo katika ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.Katiba yetu hii ndio mzani wa kupima...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tuesday, 21st October 2008 Updated 10 hr(s) 55 min(s) ago By Cyrus Ombati Police have questioned High Court Judge GBM Kariuki over the stabbing of a motorist after a minor road accident in the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Mwandishi Maalum, (Habari Leo) Kyela, Mbeya Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumamosi Oktoba 11, 2008) ametawazwa kuwa chifu wa Kabila la Wanyakyusa na amepewa jina rasmi la Chifu Mwangupili. Rais...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Last Updated on: 15.10.2008 0519 EAT (1205 GMT) (Dar Leo) • Achapwa viboko kwa kuchezea nyeti za watoto Na Rehema Maigala, Kinondoni MSHITAKIWA Rahimu Issa (22), mkazi wa Sinza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
[B] Nchi yetu Tanzania imekumbwa na kashfa nyingi sana hivi karibuni kama vile EPA, Richmond pamoja na mikataba mingi ya ujanjaujanja (Songwe-Kiwira coal mines nk) na pia tumeshuhudia hatua za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, Binafsi kuna hili suala linanitatiza sana, Utawala wa kisheria wa kimataifa (International Law of Governance), nini lange lake kuu? je, inalenga kuwadhalilisha vingozi wa afrika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana saa kumi na moja na dakika hamsini na nane (17:58), gari la waziri wa fedha na uchumu (lenye namba za usajiri W FU) na ndani akiwemo waziri mwenyewe wa fedha na uchumi bwana M Mkullo, likiwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Sheria ya uchaguzi ni lazima ifanyiwe marekebisho-Tendwa Martha Mtangoo, Dodoma Daily News; Wednesday,September 17, 2008 @00:03 Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbona hawa wakenya sasa hivi wapo kila mahali,sasa hivi hata mfagiaji ni mkenya. Imekwenda wapi sheria ya ajira kwa wazawa,na sisi mbona tukienda kwao hatupati nafasi hii. Kibaya zaidi akiingia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF ninapenda kujua kuwa sheria ya NGO ya mwaka 2002 inafanya kazi na je kama inafanya kazi ni vipi kumekuwa na NGO nyingi ambazo ni briefcase, yaani watu wanaandika plan zao wanapeleka kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni imani yangu kuwa wengi kati ya wanaotembelea hapa wana ujuzi mkubwa wa mambo ya kisiasa na kiuchumi Tanzania. Kwa hiyo sina kazi kubwa ya kuelezea hali halisi ya namna ambavyo nchi ya Tanzania...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Natanguliza salamu. Nina jamaa yangu ambaye kwa bahati mbaya ana matatizo ya akili (Alzheimer) ambayo yanamfanya asiweze kumudu shughuli zake za kila siku. Amekwenda kwa daktari na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom