Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

DAKTARI wa Hospital ya Marie Stopes tawi la Mwenge jijini Dar es Salaam, Paul Andrew (34), anayekabiliwa na tuhuma za kumbaka mgonjwa, amefikishwa mahakamani na kuachiliwa kwa dhamana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa serikali, Jaji Frederick Werema. MUSWADA wa sheria za gharama za uchaguzi jana ulipita kwa mbinde huku ukiibua malumbano makubwa baina ya mwanasheria Mkuu wa serikali, Jaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BBC journalist insists story is accurate Pollino Angela, the 50-year-old man who recently confessed to committing 70 ritual murders, including that of his son, has told Police that his story was...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Membe: Ama zao ama zetu waliohusika rada...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hoja ya Mgombea Binafsi Attached is the Court of Appeal Rulling in the case of THE HONOURABLE ATTORNEY GENERAL VERSUS REVEREND CHRISTOPHER MTIKILA as featured in some of today's (9th Feb, 2010)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau sitaki kuwachosha sana kwenye hili, siku zote nimekuwa nikiamini kabisa kutoka na kuvurunda kwingi kwa Serikali yetu, labda na baadhi ya ofisi za umma zimekuwa zikiendeshwa wa watu ambao...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa yeyote mwenye nazo au anayefahamu wapi naweza kudownload regulations au sheria inayoongoza uendeshaji wa vituo vya watoto waishio katika mazingira magumu. na kama hizo regulation...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hello..natumai wote wazima naamini hapa kuna wataalamu wa mambo ya sheria na ushauri pia. kuna situation ambayo ipo hivi..kwenye familia imetokea kuwa baba ana mtoto wa nje ambaye alizaa kabla...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya ndio Mashtaka ambayo Muro na Wenzake wanakabiliwa nayo katika Mahakama ya Kisutu (see attached file). Nawasilisha kwa taarifa na hapa naomba kunukuu vifungu husika vya sheria ambavyo vinahusu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mazingira magumu ya kupambana na uhalifu yapo kila nchi, lakini hii inaweza kuwa ngumu zaidi unapopaswa kupamabana na wahalifu waliokata tamaa ya maisha na kuua au kuuwawa kwao si kitu. Ni kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo tr 04/02/2010 ni siku ya Sheria nchini ambapo Mahakama zinaanza rasmi baada ya kuwa kwenye Judicial Vacation tangu tr 15/12/2009 hadi tr 31/01/2010. Mgeni rasmi atakuwa Mh JM Kikwete, Rais wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hollywood loses landmark copyright case in Australia SYDNEY Thu Feb 4, 2010 1:43am EST SYDNEY (Reuters) - Hollywood studios lost a landmark copyright court case against an Australia internet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Kutokana na medereva wengi kutokujua haki zao wawapo barabarani je ni haki kwa trafiki kunyofoa number plate, kukunyang'anya ufunguo au kum'beba ndani ya gari yako hadi kituoni? Ningeomba msaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari kutoka ndani ya jopo la waamuaji wa kesi ya Liyumba zinasema kwamba Lipumba hana kesi ya kujibu. Hii ilikuwa inategemewa kama ilivyo kesi ya Mramba and company.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
naomba kufahamu juu ya rufaa dhidi ya akina zombe muda bado wa kuisikiliza au ndiyo wameachwa huru hawana kesi ya kujibu.naomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:cool:nafurahi kuwa mmoja wenu.napenda kuwasalimu kwa mpigo wana jamii. muhalley
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi All, I am a Kenyan residing in Nairobi; my wife of 7 years whom we were blessed with 3 sons, left after we had a quarrel, promised to be back after a while, but never did so; she is a...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
By Taddeo Bwambale PRINCIPAL Judge James Ogoola has said the judiciary is considering recruiting some foreign judges for the war crimes court to help in dealing with crimes of international...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Ikiwa magazeti yanafungiwa, na wapinzani wanarushwa jela. Demokrasia itapatikana? MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo imemfutia dhamana Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP)...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom