Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Elizabeth Michael maarufu kama Lulu KWA UFUPI Juni 11, mwaka huu Mahakama Kuu ilikubali kufanya uchunguzi wa umri halali wa mshtakiwa, kufuatia maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na jopo la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WADAU NISAIDIENI HII SECTION INANITAKA MIMI KAMA MWAJIRI NIANDIKE NA NIREJISTE PLAN YA KUPROMOTE EQUAL OPPORTUNITY SIJAIELEWA KABISA NAOMBA UFAFANUZI WENU,NA KAMA YUPO ALIYEANDIKA THAT PLAN NA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wasomaji ni matumaini yangu mu wazima wa afya .Kuna dada yangu kapelekwa polisi na wenzake kisa wamemkopeshea pesa. Tulienda polisi kumwekea mthamana lakini askari walisema hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili la katibu mkuu wa CCM kuzunguka na mawaziri kuelezea mafanikio ("anyway" na mikanganyiko) ya serikali inatokakana na mfumo wa katiba ipi? Kwenye mihimili ya serikali kwa mujibu ya katiba ya...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Mkazi wa Mtaa wa Mbete, Kata ya Isanga Jijini Mbeya Bwana Yussuf Hamad(39),anatuhumiwa kumpa mimba binti yake wa kumzaa(16) jina lake limehifadhiwa. akiingia mahakamani leo mbele yake ni mke...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zanguni nilipata ajali mbaya ya mkono yapata miezi 4 iliyopita nikiwa marekani kazini, mkono ulivunjika mara 4 . Nikafanyiwa operation under insurance company, pia wananilipa pesa ya kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi hapa inakuaje? Au polisi hua wanatumwa? Hata wakisema polisi waliohusika watachukuliwa hatua lakin hua hatusikii iyo kesi inapoishia. Mbona wale wanajeshi waliotuhumiwa kumuua mtoto wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu heshima; Pamoja na kasi iliyopo nchini ya kumtafuta sana elimu popote alipo hata kama ni Uchina, kuna "wajinga" fulani hapo wilayani Rufiji badala kuzingatia masomo wao wanatishia kuwabaka...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Ninapenda kufahamu endapo kipengere kinachompa haki mtumishi mpya kupata pesa ya kusafiria katika utumishi wa umma kimeondolewa? i.e transport allowance on first appointment...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau kwakua bodi ya mkopo ya elimu ya juu tz inanigia mkataba na miye wakunpatipa pesa za chakula na maradhi nk kwa muda huhafaka je nauliza ni wapi naweza ishitaki hii bodi kipindi inapochelewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, Kuna rafiki yangu alinikopa laki 3 tarehe 1 mwezi November mwaka huu, tukaandikishana na kutiliana saini mimi, yeye na rafiki mwingine kama mdhamini kwani ndiye...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
juzi nilienda polisi kutaka kufungua kesi ya kumdai mtu ambaye ananizungusha kunilpa bt cha kushangaza askari niliyemkuta counter akanijibu kuwa polisi hawaucki n kesi za madai wao wannahucka n...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Polisi kahukumiwa kifungo cha miaka 17. Ni baada ya kumuua kijana mmoja huko Soweto Afrika Kusini. Polisi huyo ambaye bado ni mchanga kazini alimmiminia risasi kijana huyo ambaye inasemekana ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Following the publication of a prison diary which turned out to be the first ever book to elucidate vividly the situation in Tanzanian prisons, The Express was inspired and hence conducted an...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Harakati za Mahakimu wa Mahakama mbalimbali Tanzania kuapishwa kuwa Mawakili zimegonga mwamba. Taarifa toka Mahakama ya Rufani Tanzania zinasema kuwa Jaji Mkuu Othman Chande amewakatalia mahakimu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
habari za jioni wana jf,nimekuwa nikifanya kazi kwa m2 binafsi kwa zaidi ya miezi 8,lakini tarehe 1,mwezi huu,amekuja ofisini na kunitaka nimkabidhi ofisi yake na vi2 vingine nlivyokuwa...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Poleni na majukumu ya kila siku.Nilikuwa naomba msaada wa kisheria juu ya uanzishwaji wa kampuni.Kwa yeyote anayeweza kunisaidia katka hili naomba tuwasiliane kwa 0759-835929,au 0717-034065
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani!Kuna mdau yoyote anayejua kama ripoti ya uchunguzi ya tume iliyoundwa na 'Genious' Mh Dr Mwakyembe kama imewasilishwa ?Nakumbuka Mheshimiwa alitimua menejiment kwa mbwembwe na kuweka watu...
0 Reactions
2 Replies
930 Views
ALIYEKUWA Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hillary aliyevuliwa wadhifa huo na Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, amepata tumaini jipya baada ya mahakama hiyo kumruhusiwa kukata rufani kwa mara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom