Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba msaada wakuu
Tulikoroshana na my wife 2008 mwaka mmoja tu baada ya kufunga ndoa ya kikatoliki. Akarudi kwao na kubeba baadhi ya vitu vyake. Tukaendelea na mawasiliano huku tukijaribu ku...
Kuna kampuni nyingi za simu hapa Tanzania lakini kuna mambo yanawafanyia wateja wao sio fare kabisa,mfano baadhi ya makampuni yana huduma ya internet kwa malipo ya kabla ya kununua kifurushi kwa...
Jana ilitokea nikawa naangalia kipindi cha 'take one' cha Zamaradi. Kuna binti ambay kwa umri anaonekana yuko chini ya miaka kumi na minane. Binti huyo anasema alikuja Dar Es Salaam kwa ajili ya...
Nime ishina mwana mke kwa muda wa miezi kuminambili bahati nzuri mwanamke kanikuta nime nunua kiwanja na nika anza kujenga nyumba mpaka kwenye renta na baadaye tuka malizia wote ndani ya mwaka 1...
WIZARA YA ARIDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI INAJITAHIDI KUFANYA KAZI ZA VIGOGO TU , WATU WAKAWAIDA NI KERO WAKATI MWINGINE UNAWEZA KUSEMA INAFANYA KAZI KWA UBAGUZI , TAARIFA ZOTE WANAZOZITOA HAKUNA...
(Kutoka gazeti la mwananchi)
MWANAZUONI aliyebobea katika sheria, Profesa Issa Shivji na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Francis Stolla wamekosoa hukumu ya Mahakama ya Rufani...
Ndugu wana Bodi heshima kwenu.
Jamani katika kutafuta nyumba za kupanga tuwe makini sana haza maeneo haya ya Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni etc.
Binafsi na familia yangu...
Wakuu nina issue iko mahakamani, siyo ya madai. Natafuta mwanajf ambaye yupo tayari kunishauri kupitia pm au wazi (maana siyo siri). Nipo tayari kumlipa gharama za ushauri sh.20,000 kwa njia...
Heshima zenu wakuu,,
Jamani naomba msaada wa hili swala, kuna jirani yetu hapa kwa bi mkubwa amejenga nyumba so kuna sehemu ya nyuma amejenga fensi kiasi cha kwamba maji yote yanakuja upande wa...
matukio ya hivi karibuni ya mauaji yanayohusishwa na udini,vurugu na mauaji ya watu wasio na hatia kama ya mwangosi,mauaji ya huko morogoro,singida na sasa vurugu za mtwara na matukio mengi ya...
Salma Said,
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mwanakwerekwe imeombwa kuifuta kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) kutokana na kuchukua muda mrefu kwa...
Sheikh Ponda Issa Ponda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepokea silaha mbalimbali yakiwamo mapanga, visu, majembe, sufuria, makoleo na sufuria kama kilelezo katika kesi...
Mahakama katika mji wa Toronto nchini Canada imetoa hukumu ya kihistoria ambayo huenda
ikazusha mjadala mkubwa kuhusiana na biashara kongwe kuliko zote duniani, "biashara ya ukahaba".
Hukumu hiyo...
Mke wangu ameajiriwa kampuni moja hapa Dar, mwajiri anaiendesha atakavyo. Haya ni baadhi ya mapungufu:
1) Hamna mikataba ya kazi inayotolewa
2) malipo ni kiduchu mno na Hakuna makato ya kodi...
Sheria na haki ya kuleta gari tz sijaielewa.
Mie nataka kuleta gari ambayo nimeikimiliki miaka 3 sasa.
Na ninampango wa kununua ingine nilete mbili kwa mpigo.
Nataka kuzitumia kibiashara.
Je...
KESI YA SHEKH PONDA JANA
Kesi ya Uchochezi na Uharibifu wa mali inayo mkabili Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake leo imeendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar...
UPANDE wa Mashitaka katika rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa Aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji (TBC) Jerry Murro aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kuomba rushwa ya Sh milioni 10...
Ninafuatilia kwa karibu kuhusu sakata la TFF, Jana Tenga alinukuliwa akisema kwamba hakukuhitajika watu kukusanyika kuipitisha Katiba ya TFF kwani teknolojia ya kisasa inaruhusu hivyo...kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.