Hili Lingekuwa Kwa Polisi Wetu Halina Kwere(Query)

Azipa

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
1,071
1,225
Polisi kahukumiwa kifungo cha miaka 17. Ni baada ya kumuua kijana mmoja huko Soweto Afrika Kusini.

Polisi huyo ambaye bado ni mchanga kazini alimmiminia risasi kijana huyo ambaye inasemekana ni mwanachama wa kikundi cha wahalifu katika eneo hilo. Wakati anapigwa risasi huyo kijana alikuwa amelala akitazama chini

MY TAKE: Tanzania polisi wetu wanaua raia wasio na makosa. Huyu polisi kaua mhalifu na bado kashtakiwa. Imekaaje hiyo?

http://www.timeslive.co.za/local/2012/12/04/mbatha-sentenced-to-17-years-for-soweto-teen-s-murder
 
katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
0
Kwa hiyo unachotaka kusema nini, kwamba polisi wetu nao waue au.............. Hakuna aliyejuu ya sheria, juzi JW wamehukumiwa kunyongwa!
 
Azipa

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
1,071
1,225
Kwa hiyo unachotaka kusema nini, kwamba polisi wetu nao waue au.............. Hakuna aliyejuu ya sheria, juzi JW wamehukumiwa kunyongwa!
Wale walohukumiwa kunyongwa ni kwasababu victim alikuwa ni wa uzao wa Fundikira. Fundikira alikuwa ni waziri wa kwanza wa sheria Tanganyika kama sikosei(kigogo)
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,820
2,000
Kwa hiyo unachotaka kusema nini, kwamba polisi wetu nao waue au.............. Hakuna aliyejuu ya sheria, juzi JW wamehukumiwa kunyongwa!

Acha uongo!!unamkumbuka Ditopile?umewahi kumsikia mtu anaitwa Rostam wewe?b basi kwa taarifa yako hawa and their elk wapo juu ya sheria,japo ditto yeye alipigwa katafunua na Mkuu sana! Mwenyeezi Mungu alimuonyesha kuwa sheria zake hazipindishwi.
 
katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
0
Acha uongo!!unamkumbuka Ditopile?umewahi kumsikia mtu anaitwa Rostam wewe?b basi kwa taarifa yako hawa and their elk wapo juu ya sheria,japo ditto yeye alipigwa katafunua na Mkuu sana! Mwenyeezi Mungu alimuonyesha kuwa sheria zake hazipindishwi

Kama vile umebadilisha mada. Hoja inazungumzia Polisi waoua watu, sina kumbukumbu nzuri kama Ditopile alikuwa...... Hata hivyo nimekusoma mkubwa
 
katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
0
Acha uongo!!unamkumbuka Ditopile?umewahi kumsikia mtu anaitwa Rostam wewe?b basi kwa taarifa yako hawa and their elk wapo juu ya sheria,japo ditto yeye alipigwa katafunua na Mkuu sana! Mwenyeezi Mungu alimuonyesha kuwa sheria zake hazipindishwi

Kama vile umebadilisha mada. Hoja inazungumzia Polisi wanaoua watu, sina kumbukumbu nzuri kama Ditopile alikuwa...... Hata hivyo nimekusoma mkubwa
 
Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
0
naona kama most of you hamjamuelewwa mtoa mada...hoja yake ni kuhusu haya mauaji ya raia yanayofanywa na polisi lakini hawachukuliwi hatua yoyote,ndo akauliza wadau mnaonaje ukilinganisha na hyo incident ya s. africa????( correct me if am wrong though )

no one is above the law, yes, lakini sheria zetu za bongo pia zinatakiwa kutekelezwa si kwa maandishi tu...kama hao maaskari wa mwangosi na wale wa moro kwenye mkutano wa chadema, hawajachukuliwa hatua yoyote...hata report za waziri wa mabo ya ndani na zile za chama cha waandishi zilikinzana wakati waandishi walionesha hadi na evidence ya picha....no wonder walioko jela wengi wao ni innocent........
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom