Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Jamani naomba kama kuna mtu ana nakala ya marekebisho ya ya sheria yaliyopitishwa na bunge letu tukufu jana tarehe 08.02.2013. Najua JF ni Jungu Kuu hivyo sina shaka document itapatikana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daniel nsanzugwanko wiki mbili zilizopita,akiwa na Nape Nauye apa kasulu mjini. Aliwambia wananchi kuwa kesi yake ilichakuliwa koti kuu na mahakama ya rufan na ata mahakama ya rufani. Alisema kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi watanzania hatuna sheria tunayoweza kutumia kumkataa spika?Nauliza hili kwani pesa zinazotumika kuwalipa mishahara na posho ni kodizetu lakini kazi wanazofanya Bungeni hazina manufaa kwetu
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Ngd wanasheria na wataalamu wa Afya, inafahamika kuwa daktari anapomtibu mgonjwa huwa inabaki kuwa siri kati yake na mteja. Je, inapotokea kuwa Dr ametoa siri hiyo kwa watu wasiohusika...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
hey I 'm new in if..can u please welcome me!
0 Reactions
3 Replies
708 Views
Jana February 6, 2013 ilikuwa Siku ya Sheria na theme ilikuwa Utawala wa Sheria. Sherehe hizo ambazo ziliongozwa na Rais Jakaya Kikwete zilihudhuriwa na Jaji Mkuu, Mohamed Chade Othman, Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi hamis nataka kujua. je ni haki mtuumiwa anapofikishwa kituoni kuwekwa lockup bila kujieleza?
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Habari za asubuhi! Kwa mwenye ule waraka wa Said Mwema wa haki za raia anapokamatwa na traffic naomba anisaidie copy tafadhali! :attention:
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Mimi nimwajiriwa katika kampuni mojakubwa hapatanzani iliyoko arusha tatizolinakuja kwenye kukatwa mshahara kwakiwango kikubwa sana kulinga nisha na mshahara unakata masaa kwakiwango malipo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
[ Akina mama walikokuwa katika sherehe hiyo wakitahamaki baada ya kachero wa polisi kujitambulisha ….Binti huyo (kushoto) akiwa chini ya ulinzi wa polisi akitolewa ndani na kuingizwa kwenye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wadau? Naomba mnisaidie vifungu vya sheria na miongozo, taratibu zingine zinazotakiwa kufuatwa pale ambapo mwajiri anapokuwa ameweka mshahara bank (mara mbili ya ule anaotakiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unakwenda kwenye ofisi ya TRA ukiwa radhi kulipa kodi. Unakutana na mlolongo wa ukiritimba. Unasimama foleni benki kwa masaa mawili ili kuwapa fedha. Mazingira ni mabovu na watu wamejazana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa namsikiliza Kikeke, akatoa taarifa ya jaji mmoja ambaye ametoa hukumu akitokea usingizini. Alipoulizwa kwa nini anatoa hukum akitokea usingizini, alisema yeye hakusinzia, bali alifumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hoja yangu ya msingi nikwa nini raia wanaweka chuki na polisi wakati jukumu kuu la polisi nikulinda na kusimamia amani ya nchi ili ww raia uishi kwa amani
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimepata taatrifa kutoka Bukoba kuwa Wamekamtwa watangazaji wanne wa redi kasibante ya Bukoba Mali ya Kagasheki kwa tuhuma za utapeli,kughushi majina na kuiba kifaa cha kurusha matangazo live...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
tukio lenyewe nikwamba kijana mmoja alikuwa anaishi na mke wake bahati nzuri mungu kawajalia kupata mtoto na mtoto wamempata kwa mama kufanyiwa opration yenyewe ajamaliza hata mwezi cha ajabu mama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MILAN — A Milan appeals court on Friday vacated acquittals for a former CIA station chief and two other Americans, and instead convicted them in the 2003 abduction of an Egyptian terror suspect...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Sakata la biashara ya binadamu ambalo limeibuka kwa kasi nchini limeanza kufanyiwa kazi na serikali baada ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Maji kuwatia mbaroni mawakala watano ambao ni wanawake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nakerwa kwa zaidi ya miezi kadhaa mtoto wa mdogo wangu wa kike aliyezaliwa mwaka 1980, ananisumbua kwa kunitumia sms za matusi na kunidhallilisha. Nimeomba msaada kwa binamu zangu watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom