Ukweli kuhusu pesa ya usafiri kwa mtumishi mpya

ba nso

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
668
250
Habari wanajukwaa,

Ninapenda kufahamu endapo kipengere kinachompa haki mtumishi mpya kupata pesa ya kusafiria katika utumishi wa umma kimeondolewa? i.e transport allowance on first appointment.

Mana hapa ofisini kwetu watumishi wapya (Assistant Lecturers) tunazungushwa kwamba hiyo standing order ilifutwa, japo katika stending order ya 2009 hio haki ipo na maofisi mengine ya umma wanalipa.

Naomba anayejua kuhusu hili anisaidie.

Asante.
 

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,060
2,000
Wameifuta kimya kimya kwa waraka flani hivi ila sina kumbukumbu ya no ya waraka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom