Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nimekuwa nakerwa kwa zaidi ya miezi kadhaa mtoto wa mdogo wangu wa kike aliyezaliwa mwaka 1980, ananisumbua kwa kunitumia sms za matusi na kunidhallilisha. Nimeomba msaada kwa binamu zangu watu...
Mume wangu ameniacha baada ya kupata mwanamke mwingine. Kwa miaka 17 tulifanikiwa kujenga nyumba 2 na kagari ka 1. Hivi sasa nyumbani haji tena amehamia kwenye nyumba yetu ya pili na huyo...
jaman nsaidien kesi bado mbichi npo police cjalewa ila kutokana na uchovu nmelala kwenye mataa na ktk wallet nina buku tano tu. police amenipeleka officin kwake. adhabu alali kwangu ni ipi?
Takribani miezi minne sasa wahitimu wa tumaini university iringa wamemaliza chuo lakini cha kushangaza ela yao ya tahadhari hawajarudishiwa hadi leo ambayo ni shilingi elfu 50 kwa kila mmoja...huu...
Wakati lulu akiachiliwa kwa dhaman ana ponda kuendelea kusota jela na mahakama kushindwa kutoa maamuzi ya kina kuhusu kosa la ponda je hii imekaaje wana jf, mbona tunataka tufika siko na kufanya...
nilimaliza
chuo 2003 nililipiwa na serikali bila mashart yoyote,mwezi huu board ya
mikopo imeanza kunikata eti mkopo wa almost mil.4 mi hii board siijui
wala skuwahi kuingia mkataba nao...
Jamani wana jamii, mimi niliajiriwa mwezi wa tisa mwaka jana na kuachishwa kazi mwezi wa kwanza mwaka huu, kutokana na kudai kulipwa malimbikizo ya mishahara ya tangu mwaka jana. Barua ya...
Rais Yoweri Museven wa Uganda anapendekeza watu wanaofikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa wasipewe dhamana ili kukabiliana na vitendo vya rushwa. Je na sisi tunaweza kuiga hilo?.
Heshima mbele!! Kuna baadhi ya taasisi za serikali siku hizi wana ajiri kwa kutumia mfumo wa ajira ambao wanauita CONTRACT OF UNSPECIFIED PERIOD. Ukiwauliza baadhi ya maafisa utumishi wanasema...
Taarifa ya habari imeonyesha kuwa huko Ulanga, Morogoro, polisi wamemuua mfugaji kwa kumpiga risasi na kisha kumpora fedha zake. Jamaa wa marehemu wamegoma kumzika hadi hapo uchunguzi...
Habari wataalamu wa sheria!
Kuna colleague wangu, kaniomba ushauri yuko so desparate sana.
Amezaa na mCanada ambaye mwanzo alikuwa anaishi nchini (mwanza), mtoto mmoja she is 8 yrs now...
hellow wadau , mimi na tatizo la la kisheria linalonisumbua n kwamba kuna jamaa ambaye ni business partener wangu na nahish nae hapa dar, tunafanya biashara pamoja zaid ya miaka minne sasa ila...
Naomba msaada wa charter iliyoestablish chuo cha ESAMI, na je kuna limitation yoyote kwenye kufungua madai yanayotokana na breach ya contract, do a person need to get a waiver before instituting...
hivi inaweza mtoto kuwa na majina mawili tu na asiwe na surname. sheria za tanzania zinasemaje? yaani lets say mtoto anaitwa jacob ww unaitwa ladislaus surname massawe. je mtoto anaweza kuitwa...
Charles Ghankay Taylor arrest.
Freetown, Tamba Ngaujah has little doubt who was behind the Revolutionary United Front rebels who, 20 years ago, gave him "short sleeves".
"They put my arms...
WanaJF naombeni msaada wenu, ni sheria gani inayoyataka makampuni yote nchini kuorodhesha share zake DSE..? Ntafurahi zaidi mkinasaidia na possible sections za hiyo sheria. Asanteni.
The EAC integration process in my view shud be the medium for promotion and protection of Human rights.Why is it taking so long to negotiate the draft protocol on human rights?In globalised world...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.