Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hivi ni sheria gani inasema dini hii ndo inaruhusiwa kuchinja mnyama fulani ndipo aliwe na watu wote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naja kwenu kwa msaada wa kisheria. Mie mwajiri alisitisha mkataba wangu kinyume na taratibu kwa sababu hakufuata taratibu wala sheria za kazi. Baada ya kuona hivyo nilienda baraza la mapatano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
last week nili drive kutoka dodoma kuja dar cha ajabu askari wa usalama barabarani wenye tochi walikuwa wengi mno hadi unashindwa ku enjoy drivin. wakati nakaribia mikese kuna kibao cha 50km/h so...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kijana mmoja aitwae jimmy,alikuwa anaitaji kujifunza sheria kwa mwanasheri akiwa hana pesa ya kughalamia malipo ya ada, akaomba ajifunze kwa mkataba kwamba atalipa hiyo pesa iwapo akimaliza na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JOPO la Majaji wa Mahakama ya Afrika Mashariki, limemwamuru Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania kujibu hoja zilizowasilishwa mahakamani hapo na Anthony Komu (CHADEMA) ndani ya siku 15 na...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna watu wanasema ya kwamba, Spika na Naibu wake wachukue hatua za kisheria dhidi ya viongozi wa CHADEMA kwa kutoa namba za viongozi hao wa Bunge, jambo lililopelekea viongozi hao wa Bunge...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilimshuhudia Mchungaji Christopher Mtikila akimwambia askari aliye kuwa akitaka kumkamata kuwa hawezi kukamatwa na askari huyo kwakuwa cheo chake (huyo askari) ni kidogo na askari...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
plz JF help me to understand this; for what i know other laws emanate after the constitution come into operation, therefore constitution of TZ was supposed to be the first act to be enacted and...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jaman hakuna haja ya kutumia nguvu nying kusambaratisha maandamano ya waislam Criminal Procedure Act inaelekeza makosa gani mtu hapewi thamana.pia mazingira ambayo mtu hapewi thamana. Ila kama...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Jamani nahitaji ushauri wa kitaalam, Nimeolewa ni miaka mingi sasa, ila kwa bahati mbaya Mungu hajatujaalia kupata watoto wa ndoa. Lakini mume wangu yeye anadaiwa kuwa na mtoto kabla ya ndoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Public flogging in Pakistan Human Rights Muko wapi kuwatetea hawa jamaa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
....Kuna bwana mmoja kanunua shamba jirani yetu!mipaka iliyokuwepo tangu awali sikuwahi kusikia tatizo la mipaka.baba yangu alifariki july,ss huyo jirani mama yake ambaye alikuwa mmiliki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Jana Mahakama imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini. wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
ALHAMISI, FEBRUARI 14, 2013 05:40 KULWA MZEE NA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM *Asema anadaiwa kuhusika na Al-Shabaab, vurugu za Zanzibar *Polisi yawaonya Waislamu wanaotaka kuandamana kesho...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
*Asema anadaiwa kuhusika na Al-Shabaab, vurugu za Zanzibar *Polisi yawaonya Waislamu wanaotaka kuandamana kesho MKURUGENZI wa Mashitaka Nchini (DPP), Eliezer Feleshi, amesema hatumii madaraka...
3 Reactions
105 Replies
10K Views
MCHUNGAJI wa Kanisa la PAGT, Isaya Rutta (52), mkazi wa Kijiji cha Katoro, Wilaya ya Geita, mkoani Geita, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuchinja ng'ombe mmoja na mbuzi wawili...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanawake, watoto na mabinti visiwani Zanzibar wanadaiwa kupigwa picha za ngono za video za kuwadhalilisha ambazo husambazwa kwenye mitandao ikiwamo ya simu. Vitendo hivyo vya udhalilishaji wa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Source majira Katika hari inayoelekea kujitungia sheria kulingana na matwakwa ya pande anayoamini yeye either kwa kushauriwa au kwa matakwa binafsi mkuu wa Wilaya Ya Temeke bi Sofia kaamuru...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
  • Closed
Wana JF maandamano ya waisilamu kesho hayana baraka za jeshi la polisi. Je viongozi na wafuasi wengine waliohusika kuratibu maandamano hayo watakubaliana na hilo? Nawasilisha. Chanzo: TBC usiku...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
[SIZE=3][FONT=book antiqua][COLOR=black]Ma
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom