Wanafunzi Wabaka Walimu Wao, Shule Kufungwa - Ni Huko Rufiji

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,753
2,000
Wakuu heshima;

Pamoja na kasi iliyopo nchini ya kumtafuta sana elimu popote alipo hata kama ni Uchina, kuna "wajinga" fulani hapo wilayani Rufiji badala kuzingatia masomo wao wanatishia kuwabaka walimu wa kike hapo shuleni kwao.

Taarifa hizi nimezipata asubuhi ya leo kwenye kipindi cha Radio One Nipashe ambapo mwandishi alifanya mahojiano na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji (sorry, nimemsahau jina). Mkuu wa Wilaya amethibitisha ukweli wa habari hizo na ameiagiza mamlaka husika kuifunga shule hiyo kutokana na utovu wa nidhamu uliokithiri kiasi kwamba imefikia hatua walimu wote kuomba uhamisho au kuacha kazi baada ya kukerwa na tabia chafu za wanafunzi wa kiume shuleni hapo.

Haya wakuu, hiyo ni "sample" tu kati ya shule zetu kadhaa zenye mienendo isiyoridhisha kitaaluma na kimaadili. Nawasilisha mezani kwenu Great Thinkers.

My Take:

(i) Hivi huu utovu wa maadili uliopitiliza unaoelekea kusambaa kwa kasi nchini hadi kwa "watoto wadogo" chanzo na athari zake kwa mustakabali wa taifa letu ni nini? Na ni hatua gani zichukuliwe?

(ii) Hivi hawa "maamuma" wanajua kinachoendelea duniani kweli hawa? wanajua nafasi ya elimu katika maisha ya mwanadamu wa leo? Si ndio hawa hawa leo wanachezea nafasi waliyoipata na ndio wa kwanza kesho kulalamika "tunaonewa"?

(iii) Rufiji ni kati ya maeneo yaliyo nyuma kielimu nchini. Ilitegemewa wangechangamkia sana fursa hii ili kujikomboa lakini inaonekana kuwa kinyume. Jamii za huko zina mchango gani katika kadhia hii? Wazazi na hata taasisi za kidini nini mchango wao hapa; malezi ya watoto na maadili kwa ujumla?

(vi) Endapo shule hiyo itafungwa kwa mujibu wa agizo la DC, nini kitegemewe? Maandamano ya wanafunzi na wanajamii kupinga "uonevu" huu kama ambavyo imekuwa ikishuhudiwa siku za hivi karibuni? Mihadhara mikali mikali kwenye nyumba za ibada na shutuma kwenye media za kidini kupinga uonevu huu "uliokithiri" kama ambavyo imetokea kule Tunduru, Bagamoyo, n.k?
 
cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
195
Sio kufungwa tu ingefutwa for five years ili akili ziwakae maana kwenye magazeti wanasema wazazi wa hao vijana wanafurahia hiyo hali!solution ifutwe kabisa wabaki na ujinga wao walimu wahamishwe tu coz shule ni nyingi zenye adabu na zinazotaka hao walimu!
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,064
2,000
nimeamini sasa shigongo anaharibu nchi. Ona jinsi alivyoharibu jinsi ya uandikaji wa vichwa vya habari ili kupata tension kubwa,kicha cha habari mleta thread umeandika kama gazeti la udaku,as if jambo limetokea kumbe siyo,rekebisha heading,acha ushigongoism!
 
Fekifeki

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
1,343
1,500
Mkuu mbona kichwa cha habari hakiendani na ulichokiandika(Maudhui)!? Nilitarajia nisikie idadi ya waalimu waliobakwa!!, kumbe ni vitisho tu, mbona vitisho kama hivi vipo sehemu nyingi tu hapa tz? Hata hivyo ukiona sehemu fulani wapo nyuma kielimu, nidhamu yao kwa walimu ipo chini vilevile! hata kimaendeleo wapo nyuma! Na kiongozi wao wa kuchaguliwa lazima atakuwa Gamba! Tusome kwa bidii ili tuinusuru nchi yetu na maradhi ujinga!!,,
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,125

Sidhani kama muanzisha mada ndio anamiliki hii HABARI kwani hata walioiripoti redioni na magazetini jana waliiripoti kwa kichwa hicho cha habari. Nachoona kimepungua hapa ni habari yenyewe kwani katika magazeti ya jana kuliripotiwa matukio ya walimu kubusiwa kwa nguvu na kushikwa mwilini na wanafunzi hao na ikadhihirika kwamba wazazi wa watoto hao wamekuwa wakiwatetea kwa matendo yao.

Kumkamata mtu kwenye kona na kumbusu ni ubakaji. Kumpapasa mwilini na kumfanyia kauli za mapenzi nao ni ubakaji wa kihisia.

Hawa watoto majahili watakuwa wameelekezwa na viongozi wao wa dini kwani ndio hawa hawa wanaosemaga kuwa wamefelishwa
 
nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,106
2,000
wazaramo yao ngoma,mpiga ngoma anazima vanga anademand apewe mwanamke,akipewa anapiga,hawa jamaa ni washenzi sana,ni wakabila na wadini!walianzishaga vurugu kwa wafugaji wa kisukuma sababu wanaprosper kuliko wao halafu polisi wanawale sana kisa ni mkoa wa mkuu wa kaya!!!!dc wa huko ni nurdin babu,.ovyo kabisa hawa
 
Vijisenti

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
500
wanasemaga ni Mfum kristo.. kumbe na mabusha na madhara ya Moudy
Comment za kipumbavu kama hizi ndo zinasababisha watu wapigwe BAN
hivi ukinyamaza bila kuongea UTUMBO kama huu utaharibikiwa na nini?
 
mawenge

JF-Expert Member
Nov 26, 2012
286
225
Hili jukwa lina mandemwa wanaondekeza udini kana kwamba wanaoishi huko ni wa dini moja tu!hivi HAMJUI KAMA KUNA KINA MBONDE WAKRISTO.
 
sinshoo

Member
Oct 13, 2012
50
0
Dini ni imani so ukimdharau mwenzio kwa sababu ya dini ujui thamani ya imani yako, Mungu hatoi nafasi hiyo ya dharau only shetani utakuwa unamwakilisha shetani
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,753
2,000
Sidhani kama muanzisha mada ndio anamiliki hii HABARI kwani hata walioiripoti redioni na magazetini jana waliiripoti kwa kichwa hicho cha habari.Nachoona kimepungua hapa ni habari yenyewe kwani katika magazeti ya jana kuliripotiwa matukio ya walimu kubusiwa kwa nguvu na kushikwa mwilini na wanafunzi hao na ikadhihirika kwamba wazazi wa watoto hao wamekuwa wakiwatetea kwa matendo yao.

Kumkamata mtu kwenye kona na kumbusu ni ubakaji. Kumpapasa mwilini na kumfanyia kauli za mapenzi nao ni ubakaji wa kihisia.

Hawa watoto majahili watakuwa wameelekezwa na viongozi wao wa dini kwani ndio hawa hawa wanaosemaga kuwa wamefelishwa

Thanx Mkuu kwa kuweka mambo sawa maana nilishaanza kushambuliwa kana kwamba mimi ndiye niliyebaka. Mimi nimeripoti tu na kichwa nilichokisikia redioni ndio hicho.
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,125
2,000
Comment za kipumbavu kama hizi ndo zinasababisha watu wapigwe BAN
hivi ukinyamaza bila kuongea UTUMBO kama huu utaharibikiwa na nini?

Yaelekea hii comment imekugusa sana. Unaweza kunieleza inakugusa kwenye bold au kwenye red?

Mfumo Kristo

Mabusha
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,125
2,000
Dini ni imani so ukimdharau mwenzio kwa sababu ya dini ujui thamani ya imani yako, Mungu hatoi nafasi hiyo ya dharau only shetani utakuwa unamwakilisha shetani

Huwezi kulaumiwa kwa kumdharau mtu aliyejidharau mwenyewe. Kuna mzozo fulani wa watoto wa shule moja huko huko Ikwiriri waliuanzisha kupinga mwanafunzi mmoja kula kitimoto bwenini. Cha ajabu comments za watu wengi zilikuwa kuwa ule ni ukanda wa pwani ambao occupants wake kwa asilimia kubwa na non kitimoto eaters kwa hiyo ni sahihi kwao kupinga kitimoto na ni haki yao ku-demand nyumba ya ibada fulani ijengwe shuleni hapo.

Leo hii imekuwa dhambi kuwatambua watu hao hao kwa kigezo hicho hicho kwa kuwa tu leo wamejichafua. THOSE ARE MUSLIMS. Ngoja yatoke majina ya waliofanya uhuni huo utaniambia. Sisi wengine dini yetu inakataza kuwaangalia wanawake kwa mtazamo wa ngono tu
 
Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,476
1,195
suluhisho ni rahisi, walimu wa kike wote wahamishwe waletwe wa kiume. Kama nao wakibakwa, basi kuna tatizo.
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,125
2,000
suluhisho ni rahisi, walimu wa kike wote wahamishwe waletwe wa kiume. Kama nao wakibakwa, basi kuna tatizo.

Hawa watawaroga. Watu wasiopenda elimu bwana hawatakosa kisa. Halafu bado watataka washindane na watu wa Kaskazini. Kweli jamani
 
August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,497
2,000
solution ni lile JK alilofanya la kuleta watu wa sehemu zingine waishi nao, iwe dc, mganga wa wilaya, hakimu, afisa biashara, waalimu nk ilikupunguza nguvu za hao wasiopenda shule na kupenda kubaka, sasa tatizo linakuja mbunge wao anapopinga wengine kupewa ardhi a kujenga nae hataki kwenda kule kufundisha.
 
Mtumishi Wetu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
5,703
2,000
Wakuu heshima;

Pamoja na kasi iliyopo nchini ya kumtafuta sana elimu popote alipo hata kama ni Uchina, kuna "wajinga" fulani hapo wilayani Rufiji badala kuzingatia masomo wao wanatishia kuwabaka walimu wa kike hapo shuleni kwao.

Taarifa hizi nimezipata asubuhi ya leo kwenye kipindi cha Radio One Nipashe ambapo mwandishi alifanya mahojiano na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji (sorry, nimemsahau jina). Mkuu wa Wilaya amethibitisha ukweli wa habari hizo na ameiagiza mamlaka husika kuifunga shule hiyo kutokana na utovu wa nidhamu uliokithiri kiasi kwamba imefikia hatua walimu wote kuomba uhamisho au kuacha kazi baada ya kukerwa na tabia chafu za wanafunzi wa kiume shuleni hapo.

Haya wakuu, hiyo ni "sample" tu kati ya shule zetu kadhaa zenye mienendo isiyoridhisha kitaaluma na kimaadili. Nawasilisha mezani kwenu Great Thinkers.

My Take:

(i) Hivi huu utovu wa maadili uliopitiliza unaoelekea kusambaa kwa kasi nchini hadi kwa "watoto wadogo" chanzo na athari zake kwa mustakabali wa taifa letu ni nini? Na ni hatua gani zichukuliwe?

(ii) Hivi hawa "maamuma" wanajua kinachoendelea duniani kweli hawa? wanajua nafasi ya elimu katika maisha ya mwanadamu wa leo? Si ndio hawa hawa leo wanachezea nafasi waliyoipata na ndio wa kwanza kesho kulalamika "tunaonewa"?

(iii) Rufiji ni kati ya maeneo yaliyo nyuma kielimu nchini. Ilitegemewa wangechangamkia sana fursa hii ili kujikomboa lakini inaonekana kuwa kinyume. Jamii za huko zina mchango gani katika kadhia hii? Wazazi na hata taasisi za kidini nini mchango wao hapa; malezi ya watoto na maadili kwa ujumla?

(vi) Endapo shule hiyo itafungwa kwa mujibu wa agizo la DC, nini kitegemewe? Maandamano ya wanafunzi na wanajamii kupinga "uonevu" huu kama ambavyo imekuwa ikishuhudiwa siku za hivi karibuni? Mihadhara mikali mikali kwenye nyumba za ibada na shutuma kwenye media za kidini kupinga uonevu huu "uliokithiri" kama ambavyo imetokea kule Tunduru, Bagamoyo, n.k?
Mkuu dudus tuseme nini sasa, huo utovu wa nidhamu namna hii eti wanafunzi badala ya kuwaheshimu walimu wao wanatisha kuwabaka??? Ni nini sasa hii ni maadili ya mila, jando na unyago, maadili ya kidini utovu wa nidhamu na kutokuwa na woga hata kidogo, au family up bringing malezi ya kiukoo???? Kuna kutambua faida ya elimu kweli huko???

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,753
2,000
Huwezi kulaumiwa kwa kumdharau mtu aliyejidharau mwenyewe. Kuna mzozo fulani wa watoto wa shule moja huko huko Ikwiriri waliuanzisha kupinga mwanafunzi mmoja kula kitimoto bwenini. Cha ajabu comments za watu wengi zilikuwa kuwa ule ni ukanda wa pwani ambao occupants wake kwa asilimia kubwa na non kitimoto eaters kwa hiyo ni sahihi kwao kupinga kitimoto na ni haki yao ku-demand nyumba ya ibada fulani ijengwe shuleni hapo.

Leo hii imekuwa dhambi kuwatambua watu hao hao kwa kigezo hicho hicho kwa kuwa tu leo wamejichafua. THOSE ARE MUSLIMS. Ngoja yatoke majina ya waliofanya uhuni huo utaniambia. Sisi wengine dini yetu inakataza kuwaangalia wanawake kwa mtazamo wa ngono tu

Ha ha ha ha ha! Umegonga penyewe Mkuu. Tatizo letu ni unafiki uliotujaa wa kutopenda kuwa responsible kwa matokeo yatokanayo na matendo au aina ya maisha yetu. Tukubali kuyapokea matokeo yatokanayo na matendo yetu mabaya kama ambavyo tunayakubali mazuri yetu - huo ndio uungwana na hata dini zetu zinatufundisha hivyo.

Kujaribu kutafuta visingizio au wa kumtupia mzigo kwa upumbavu wetu sio sahihi. Tukubali kama jamii tumeteleza mahali fulani katika malezi ya hawa vijana na tutafute solution vinginevyo ujinga huu ni hatari kwa usalama wa taifa kuliko hata silaha za nuclear.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom