Wapi naweza ishitaki helsb

josewatano

Member
Sep 20, 2011
65
25
wadau kwakua bodi ya mkopo ya elimu ya juu tz inanigia mkataba na miye wakunpatipa pesa za chakula na maradhi nk kwa muda huhafaka je nauliza ni wapi naweza ishitaki hii bodi kipindi inapochelewa kunipa huo mkopo wangu kwa wakati
 
Kukupa mkopo kwa wakati ni moja ya makubaliano katika mkataba? Kama ndio, ni tarehe ipi katika mwezi? Kama madai ya kupewa mkopo ni moja ya makubaliano baina yako na bodi, nenda mahakamani, kwani polisi hawahusiki na kesi zisizo za jamuhuri.
 
Kwa Mungu tu maana mamlaka zetu zinazopaswa kutoa haki zimeingizwa kwenye fuko la mafisadi.
 
Back
Top Bottom