Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

[SIZE=3][FONT=book antiqua][COLOR=black]Ma
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HATIMAYE Jumuiya na Taasisi za Kiislamu jana zimetangaza maandamano makubwa yatakayofanyika Februari 15, mwaka huu iwapo Katibu wao, Sheikh Ponda Issa Ponda, hatopewa dhamana. Azimio hilo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MWALIMU wa Shule ya Msingi Mfaranyaki iliyopo Manispaa ya Songea, Theresia Fuli anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumjeruhi kwa kumng’ata ulimi hadi kukatika wifi yake kwa wivu wa mapenzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 6 jela, Abdallah Mzombe (39) baada ya kupatikana na hatia ya kumuibia rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi habari za saa hii! Hope mko poa. Nataka kuattend a certain conference in us, via a company. Je ni documents gani muhimu zinahitajika,na ni vitu gani nitimize ili niweze pata visa? Na visa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rais kikwete amemteua jaji mujulizi aloys kuwa m/kiti tume ya marekebisho za sheria. Kabla ya hapo alikuwa chuo cha mahakim lushoto. Kama mtakumbuka wakti wa kesi ya mh lema. Alikataliwa na wakili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Za asubuhi waungwana, hivi karbuni nilisikia kwenye radio(sikumbuki ni redio station gani)ya kwamba nchi yetu inareview sheria ya ndoa ili kuwalinda mabinti wenye umri chini ya miaka 18. Naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi raisi anapoteua jaji anakua anamfahamu au anateua kwasababu katiba ina mpa mamlaka? Nakama ni kweli mbona kwenye case ya lema chande alijitoa akidai anintres na case.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Kampala nchini Uganda, wameilalamikia Serikali ya Tanzania kwa kulitoza Sh3 milioni basi lao kwa madai ya kuzidisha uzito lilipopimwa kwenye mizani wakati likitokea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimharibiwa siku yangu yote, asubuhi wakati naenda kazini nikaona niingie sheli tabata kujaza mafuta, wakati nataka kutoka barabarani basi la wafanyakazi la polisi lenye namba PT 0242 likiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu utaratibu wa ndoa ya kiserikali upoje kwa wenye uelewa mtusaidie kwa hili tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi bunge la juzi tuliona marekebisho ya sheria ya kuajiri mahakim waliohitim chuo kikuu kuendesha kesi katika mahakama za mwanzo lakini kabla ya marekebisho hayo tayari serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema kuwa mahakama imeelemewa na mzigo wa kesi kutokana na uhaba wa majaji na mahakimu. Amesema kuwa mahakama inakabiliwa na changamoto ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa walicho fanya viongozi wa chadema kutoa namba ya simu kwa raia na kuwataka wawatumie sms za kujiuzuri . Hakuna sheria yakuwa shtaki kwa kosa lakutoa namba bila hizini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jerry Muro kortini tena *Kesi aliyoshinda kusikilizwa upya Mahakama Kuu Na Rehema Mohamed MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo inatarajiwa kuanza kusikiliza rufaa ya Serikali dhidi ya...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za kazi wanasheria WA HUMU JF Shida yangu ni je, katika sheria za kazi kuna kipengere kinachomruhusu mwajiri hawastaafishe wafanyakazi walioko katika mkataba wa kudumu na hawaingize katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana Jf! Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nimeajiriwa miaka 3 iliyopita! Toka mwaka jana/oktoba, faili langu ktk ofisi za DED (MKURUGENZI) halionekana! Nimerudia mara 3 lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
linnah amekua akipost sana status zake kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania loans society kuwa yeye imemsaidia sana kimaendeleo hasa kwenye facebook amekua akipost sana status za kusaport...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Ndg zangu.siku za hivi karibuni watanzania tumeshuhudia mwenendo mbaya wa bunge letu kiasi cha baadhi ya watu kutumia maneno ya kashfa na matusi wanapo Adress bunge. mfano ni michango ya watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejaribu kufanya tathmin ndogo ila nimegua kesi nyingi hatari zinaishia vituo vya police kama vl ubakaji, ujangili, n.k Kwan polisi wamekuwa mahakimu wa kesi nying!!! Swal kuna haja ya kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom